Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Una cheti cha ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes am yua wani endi onle😂😂😂 Ooooh my Guy?
Wewe kei yako ishachokwa kwahiyo ondoka hapo, unamchomea mwamba nguo za nini, unaharibu sifa kwa wanawake wengine waonekane na wao ni ovyo kama wewe.Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku![]()
![]()
Uko strong BUT NOT FEARLESS ANYMORE!Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Unawashwa kupigwa. Jidai na wewe mzungu wakati unaishi Afrika.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Dah kumbe umechoma akiwa hayupo? Je uyo guy wako ni braza men au mwanaume? Kama ni mwanaume jiandae kumwomba msamaha kwa kitendk icho atakuelewaNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Pole sana mkuu mapenzi yanaweza kukufanya uonekane mtu wa ajabu, lakini usijilaumu sana. We all make mistakes after all, don't We?!Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Huna adabu kabisa, kwa hiyo ulitaka upigiwe makofi upongezwe kwa usenge uloufanya? Tena kama akili yako inafanya kazi vizuri soma komenti za wanawake wenzio ufanyie kazi.Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Kazingua mwanenuu..... Kuna mwingn Mombasa gomz, alichana kitanda, nguo, sofa, pasua vyombo tv duuh ilkuwa tafranKabisa nazijua sehemu nyingine hadi 15k ye anakuja kuchoma kirahisi hivi....roho mbaya tu
Wee udugu Ngosha who which where weeeh sheeendwaaaaa! Hekaheka za jf naziwezea wapi staki mi! 🙌🙌🤣🤣🤣🤣 nakuona mrs Ngosha
Usije kuniulia bro wangu tu!!!
Umewahi kusikia huu msemo..mwanamke mjinga anavunja nyumba yake kwa mikono yake?..au huna nyumba na wewe its just your guy🤣🏃🏃Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Hawa ndo wanawake sasa.niinbox namba plz1. Ur username doesn’t deserve you ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa 😂😂😂
Boxer mbali kote huko..!! Leso..!!!Nguo zilivyopanda bei hivyo we unachoma tu
Nguo za wakaka unajua bei yake???
Hapo ukute hujawahi kumnunulia hata boxer.....my guy ya nyoko
Affu wewe Missy Gf weweee..!!!Halafu huyu atakuwa kimbaumbau huyu ndyo mambo yao..roho mbaya kumchomea mwenzio nguo
When is back do you mind to login and tell us what happened pls . Also Ka ushauri kangu .action and reaction are equal and opposite. Just drop anything in I will get back to you .that's how you were supposed to react dearNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Uko hospital ? PoleHamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi