Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Njoo nipe tako mimi ulipize kisasi usikubali kabsa me nakushauri kumbuka unyonge ni dhambi.
 

Mimba na miezi 6 ni michache; Kama unajimudu get the https://jamii.app/JFUserGuide out, Kama ujimudu kaa ukijipanga na maandalizi ya kuondoka!

Kamwe hutafurahia hiyo ndoa maana anachoitaji mume wako huwezi mpa na atakuwa anakitafuta huko nje always!

Ukikaa bila kujipanga kuna siku utaondoka na watoto wa 3 na maumivu Makubwa zaidi, chukua hatua!
 
Ww c wa kwanza Wala hutakuwa wa mwisho kukuta video za ngono Kwa cm ya mpnz wako madam tulia Lea mimbaa na umlee mumee...

Karibu skanka tupoteze mawazo 😋
 
Waambie wazee mnaowaheshimu au wazazi wa pande mbili kama wapo ili wawe wapatanishi wenu,na mme akubari kwamba hatorudia,kabla ya hapo hakikisha mmeo kapimwa magonjwa ya zinaa.
 
Pole dada,we fanya maamuzi unayoona yanafaa kutokana na tukio lililotokea
Huwa ninashangaa mtu anapotaka ashauriwe kwenye mahusiano yake, kana kwamba sisi tunajua values zake, priorities zake, mipango yake, maisha yake, kipato chake nk.

Hii dunia ina mambo mengi, kila mtu anatafsiri yake na sababu zake za kuwa kwenye ndoa.
 
Waambie wazee mnaowaheshimu au wazazi wa pande mbili kama wapo ili wawe wapatanishi wenu,na mme akubari kwamba hatorudia,kabla ya hapo hakikisha mmeo kapimwa magonjwa ya zinaa.
Kama hii story ni ya kweli basi ushauri wako ni wa kipumbavu sana
 
Kweli
 
Fanya party home mualike boss, katikati achia ile video uone watakavyokimbizana humo ndani. Shenzi type .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…