Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Miaka 27, ndoa miezi sita, jikaze ndoa ina mengi mama.
 
Hii juice naona ni ya baridiiiii ndio kwanza imetoka kwenye jokofu...

 
Mambo ya ndoa unaleta Jamii Forum kweli! Wewe binti hujafundwa kwenu, ndoa imeshakushinda mapema
 
huwa wanaanzisha nyuzi af wanajisahau [emoji3]
 
Washirikishe wazazi ah wazee wa dini watakusaidia ila sio marafiki hutapata msaada
 
Sasa ukikasirika hela za vocha utatoa wapi jirushie na hyo vdeo tu ukae nayo
 
Watu dizaini ya nyie Huwa nawapenda sana Kwa sababu ushauri wangu Huwa unawafaa.

Ulichokiona ndio stahiki Yako Kwa kile ulichokuwa unakitafuta na ukome.

Kwanza imefanya kosa kisheria kupekua simu ya mtu bila ruhusa yake,jela miaka 5 na faini mil.20 au vyote Kwa pamoja.

Na Kwa taarifa Yako tuu wanaume wote tuko hivyo.
 
Ungejitumia hyo video hlf umtumie boss wake...then piga kimya

Angalizo......mume wako anaweza kufukuzwa kazi

kupanga ni kuchagua.
 
Hakuna binti wa miaka 27
 
hiyo ndo dunia potezea ujue jamaa ndo kazi alopewa na boss wake km unazingua basi chai ya maziwa na maini mara tatu kwa wiki navyo unavikosa
 
Naona kosa kubwa ni kumwingilia mshangazi kinyume na maumbile. Na kama hakutumia kinga hatari ni kubwa sana. Mshauri mumeo asiwe anamwingilia boss wake kinyume na maumbile na pia asiwe anarekodi video. Pia wasiliana na boss wa mumeo kumuonya kuwa awe anampa mumeo kwa njia ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…