Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Nikajua ni mwanaume mwenzie kumbe ni mmama tena boss ... Acha adinye bwana
 
Siku hizi hatuhangaiki, ukiona umehujumiwa na wewe lipiza tu
Dawa ya moto ni moto
huu ushauri haujakaa poa, kwa hyo unataka na yy akananiliwe kule, halafu ajirekod then aache simu kihasarahasara ili my wake aone hilo deo?
 
Chai, hakuna mwanaume mjinga anayefanya mambo ya kishenzi akakuachia simu yake.!

Wewe sema unataka kuhamasisha mambo ya hovyo hapa.!!
 
Ni suala la muda tu,na wewe utaliwa samvu!
 
Njoo turekodi na sisi Ili tumkomoe
 
Sababu ya uzinzi inatosha kumwacha bwana wako, mbaya zaidi huo mchezo anaomfanyia huyo bibi ni laana ya kizazi chqko
 
Delete hiyo video ili isisambae, mtili mmeo, limshangazi kama ni boss wake basi ujue sio kupenda kwake, may be amejitoa muhanga ili nyumbani msile nyasi.
 
Kama anakulea vizuri. Tulia uzae mtoto wako. Ndoa ndo zilivyo vumilia.
 
Huna haja ya kupanic,Relaxxx.....wewe upo kwenye gari siti ya mbele mwenda kwa miguu anakusumbua nini?mkumbushe kutumia kinga usije zaa mtoto ana matongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…