Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Kumbe mleta mada ni pfumbafthaana
 
Kama nikweli yaan kama hii story ni yakweli...

Marriage is a scum, period !!
 
Mjaribu na wewe kumpa yas uone anasemaje.
 
Dada mimi nikushauri tu kwa upendo kabisa, kaa na huyo mumeo mwambie ulichokiona lakini kamwe usifanye maamuzi ya kuondoka katika ndoa yako. Najua maumivu yako kwa sasa, ila unahitaji busara zaidi kuliko mihemko, maisha yana changamoto nyingi sana. Msamehe mumeo muendeleze maisha ila mwambie ili ajue umefahamu anayoyafanya na kwamba una video yake kuna namna atajifunza kitu na kujutia.
Omba sana Mungu kipindi hiki.
 
Mawazo unayotaka ni ya aina gani?
1. Umwambie
2. Muachane
3. Umsamehe.


Ushauri wangu ni huo
 
Upekupeku mpak a yamekukuta ndyo ukubwa huo
 
Siku hizi hatuhangaiki, ukiona umehujumiwa na wewe lipiza tu
Dawa ya moto ni moto
Kwa hivyo na yeye akaliwe kiboga tu kulipiza kisasi?
Watu mnataka kutelezea na ganda la ndizo Kitonga.
 
Uzushi
 
Wee leo usubuhi hukuwa single unamuwaza ex wako?
 
🥹
 
Duh polee ndo shida za kushika simu za watu hzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…