Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaaa


Yanini haya sasa jamaan?

Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa


Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani

Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu

Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh



Au ni Viungo??? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo

Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
Noma sana..
 
Hawa watu balaa, hapo nadhan mpango wake ni kukamata jumla

Kitendo chamm kuziona, tayari masharit yameharibika
Kiukweli kama kunikamata alinikamata no lie mpaka familia ikaona napotea kabisa nilitaka kuweka bond gari kabisa dogo akaingilia kati, ukiniuliza what happened ata sielewi but that wasn't me at all sema nacheka sana nikikumbuka adventure

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu mwanamke bado mshamba hivyo? Mambwata ya kutia kwa chakula mbna zama zake zimepita kitambo sana?

Hahahah nwei mjanja kakutan na mjanja mwenzie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
amu aunt njoo huku uone mambo ya mswano.
 
Kiukweli kama kunikamata alinikamata no lie mpaka familia ikaona napotea kabisa nilitaka kuweka bond gari kabisa dogo akaingilia kati, ukiniuliza what happened ata sielewi but that wasn't me at all sema nacheka sana nikikumbuka adventure

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Haya makitu kumbe yana nguvu ivo
 
Haya makitu kumbe yana nguvu ivo
Huku mjini watu wanaishi kiujanja sana shekh, ndio maana nakwambia watu wanaliana timing ukizubaa tu wanakulisha madude na wanaume nao wanamichezo yao kwaiyo ni hatari kwa kifupi kwa sisi ambao hatuamini hayo madude tunafanywa kuamini in a hard way.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kuna uzi mmoja humu ulikuwa unatema fucker, unadai kuwa wewe huwa unawatomba tu afu huna habari nao[emoji28].Kumbe na wewe wanakutengeneza kama kawaida?

Maswala ya familia (mke na michepuko) yanaambatana na maswala mengi sana, na kwaasilimia kubwa ndo husababisha wanaume wengi sikuizi tunakufa kabla ya siku zetu. Na hiyo ni kwasababu wanawake wanapokuwa kwenye mahusiano huwaza sana madawa, kuliko mwanaume.
 
Haya makitu kumbe yana nguvu ivo
Yani mwanaume anapogombaniwa na wanawake kwa madawa, madhara yake kwenye maisha ya Kawaida huwa ni makubwa sana, ikiwa ni pamoja na kuandamwa na magonjwa ya ajabuajabu na hayo mae kifo baada ya muda.
 
Back
Top Bottom