bint baajun
Member
- Dec 14, 2020
- 18
- 15
Kuto kujitambua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya siku hizi mnafanyaje tafadhali bibie maanaHivi huyu mwanamke bado mshamba hivyo? Mambwata ya kutia kwa chakula mbna zama zake zimepita kitambo sana?
Hahahah nwei mjanja kakutan na mjanja mwenzie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
amu aunt njoo huku uone mambo ya mswano.
Jamaa mnawasemaga single mom kumbe tena ndo vitu vyako!Aahhh ni.lichibonge tu siunajua vitu navyopenda?
Sura ya kawaida..ila Singo Mama.
Muambie huyo.Tulia dozi iishe utaisahau tu, kwa sa hizi dawa haijakuingia sawa sawa
Wengi wao huwq vichaa, au hata magonjwa ya akili mengine.Yani mwanaume anapogombaniwa na wanawake kwa madawa, madhara yake kwenye maisha ya Kawaida huwa ni makubwa sana, ikiwa ni pamoja na kuandamwa na magonjwa ya ajabuajabu na hayo mae kifo baada ya muda.
Mkuu usiwe unawaamini sana wanazengo humu..🤣🤣🤣🤣🤣Jamaa mnawasemaga single mom kumbe tena ndo vitu vyako!
Huwa siwasemi singo mama . huwa nasemea ujinga ambao mwanamke yoyote anaufanya.Jamaa mnawasemaga single mom kumbe tena ndo vitu vyako!
Labda nazo nikwaajili ya Kidume mwingine..maana hapa Mjini bwasheeeTuliA ulogwe boya wewe
Siku hizi hamtabiriki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ndo mana sitakagi mazoea na mchepuko week 3 max nikishalala nae mara 3 basiiii.
Mbona ya kutema big G kwa karanga kwa punje tatu za karanga ni utoto.Mwanamke sina malengo nae ya nini nigandane nae
Labda ni dawa zake binafsi za ku balance hormone au kufanya k iwe mnato.Mjini hapa makungwi wengi sana
tushakua mafurushi tena?Mafurushi bwana!!
Na mrogwe tu.
Sasa mie si ndo nataka jua niwe na alarm kichwani au nipe nondo PMHebu kuwa mpole kwani bas, maan nikifukunyua mengi nitaharibu ladha, kiruuuuuuuuh.
Mambwata hoyeeeeeeeeeeeeeh.
Ajabu sanaa kama ndo ivo acha tulogwe tu.Mkuu usiwe unawaamini sana wanazengo humu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaaa
Yanini haya sasa jamaan?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa
Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani
Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu
Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh
Au ni Viungo??? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo
Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
Hawa watu balaa, hapo nadhan mpango wake ni kukamata jumla
Kitendo chamm kuziona, tayari masharit yameharibika
Kwaio unamshaurije, ajikatae au aendelee kuitafuna mbususu?Aina ya wanawake una date nao ndio hao[emoji848]!!!
Always upo hapa kutupa namna ya kutegua mitego ya wanawake na experience zako enhe tupe mpango mpya wa kujinasua hapa pia baby[emoji8][emoji8]
Nakwambia huwezi kumzidi mwanamke na bado hujakutana na mambo wewe[emoji28][emoji28]
Hujamaliza wanawake wote hao wachache unao wapatia huko wasikudanganye eti unatujua vizuri
Hakuna mwanaume amefanikiwa katika hilo
My take😀awa zimekuzidi mpaka huna cha kumfanya na ukizubaa utakuwa ndondocha endelea....
Kuna uzi mmoja humu ulikuwa unatema fucker, unadai kuwa wewe huwa unawatomba tu afu huna habari nao[emoji28].Kumbe na wewe wanakutengeneza kama kawaida?
Maswala ya familia (mke na michepuko) yanaambatana na maswala mengi sana, na kwaasilimia kubwa ndo husababisha wanaume wengi sikuizi tunakufa kabla ya siku zetu. Na hiyo ni kwasababu wanawake wanapokuwa kwenye mahusiano huwaza sana madawa, kuliko mwanaume.
Nakuambia ivi, tayari zimeshagonga mwambaaaaaUsijidanganye
Dawa unaziona na zinafanya kazi vizuri kabisa
Hata ukizidiwa utatuambia basii[emoji3]