Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

We unavyomuona hapo ana nguvu ya kuikataa
Si umemsoma kasema anataka aone mchezo unavyo enda kwa kifupi dawa imeshaanza kazi
Na hizo alizoona ni chache tu
Mambo yalisha fanyika hizo ni dose za kumalizia kazi
Asubiri rehema za Mungu atoke hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achaaa kunipa wenge weweeeeeeee
 
Anatoaga shit tambo tu nyuma ya keybord
Hajatengenezwa huyu dudu haisimami popote zaidi ya Kwa muhusika [emoji28][emoji28][emoji28]atajua hajui
Usikazie sana my Dear... Usipojikubali mwenyewe nani atakukubali

Kiuhalisia mimi ni mweusiiiiiii macho madogooooo ya kijapani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaaa

Yanini haya sasa jamaan?

Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa

Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani

Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu

Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh

Au ni Viungo??? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo

Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Japo ni ngumu kwa walio wengi ila BAKI NJIA KUU mkuu wangu.....
 
Surgeon umepatikana.....

Atakupulusa visenti vyote tunavyokupa ukitupasua NGIRI ZETU 🤣🤣🤣
 
We unavyomuona hapo ana nguvu ya kuikataa
Si umemsoma kasema anataka aone mchezo unavyo enda kwa kifupi dawa imeshaanza kazi
Na hizo alizoona ni chache tu
Mambo yalisha fanyika hizo ni dose za kumalizia kazi
Asubiri rehema za Mungu atoke hapo
Sasa boss unamsaidieaje akiepuke hiki kikombe...?
 
Tuko kwenye kipindi ambacho wanawake 10 wanataman kuishi na mwanaume mmoja haswa mwenye mafanikio.Ungejua wanachojadili mabinti walionje ya ndoa ...wanasema mchepuko bila limbwata haendi.Japo nikiri waz msiposimama katika kweli wanaume mna hatari kubwa mnakula sana vichafu
 
Mimi huyo, wakua ndondocha ??

Hehehehehe

Nachekaaaa, kwanza sitamwambia..

Masihara yanaendelea km kawaidaa.

Nyie nawajua banaa, hamnipi shidi, labda nisiwajue kwenye masuala.kama haya

Lkn kwa mazingira ya kawaida.

Ngoja nikuambie kitu Dear Maya Angelou , sio kwamba najisifia hapanaa

Ila kiukweli hata wewe mwenyewe, ukiniona Uso kwa Uso...UTATAMAN TU ULIWE BANAA.

Tena utajisemea..."Potelea poteee ,Carlos nakuletea unikule"

Sema saizi unapata kibri, sababu maujinga yangu umeshayajua humuhumu.

HAMNA MWANAMKE MGUMU...NITALISIMAMIA HILI MPAKA SIKU YA KIAMA.

labda km weee una sura ya Kidume, hawa ndio aanajifanyaga wagumuu lkn ndan ya moyo wanasema """"wee mkaka nakutania tu"".

.
 
Hahahahah Baby , Mie hivi nilivyo ndivyo nilivo .. yaan maandiko yangu huwa yahivhiv ila kilichoandikwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Dear Maya Angel, niivi hatuajuani, na siwez weka picha za.mapisi nayokula.

In fact nakula Mapisi yangu niyale ambayo yakipita, unaona wanaume wanasema "Ewaaaaa Toto hilo"

Sasa wee hapa ,unaweza kua unaongea weeeee, unajiweka classic weeeeeee...kumbe hamna kitu Baby[emoji23][emoji23][emoji23]
.
 
Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaaa

Yanini haya sasa jamaan?

Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa

Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani

Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu

Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh

Au ni Viungo??? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo

Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
Anakupenda huyo tulia wewe, kwani kilikupeleka nini kwake? Au ulikuwa unampotezea muda tu mtoto wa watu?
Ningemwona ningempa na nyingine ukienda kwa mkeo haisimami Ila ukija kwake jogoo halali
 
Shem Umemuagaje mama watoto akakubali ulale nje lakin? Au ndo mamiloo eeh wiki hii shift yangu ya night doh! @1 kush Africa mwenzio kapatikana hukuuu hahaha
 
Back
Top Bottom