Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Nilikua na Dem wangu mrangi toka kondoa,aliwahi niambiaga nikikuamulia hutoki nje hata siku moja,siku hiyo nikamdadisi akasema nikipata mchumba ntakwambia,Hamad,akatafutiwa mchumba kwao.
Alinimwagia secreto,ukienda kwa wanawake wengine usiwaamini Sana,mkikulana,usikubali wakufute na kitambaa,jifute mwenyewe,nilimuuliza why baby?[emoji15][emoji15] Kwa kuwa alinikubali Sana ananimwagia secreto[emoji2][emoji2] kwamba like kitambaa alichojifutia na wewe akikufutia akiamua kukifunga mafundi matatu na kuchanganya na majamboz mengine,husimami kamwe kwa mwanamke mwingine[emoji34][emoji34] zaidi yake.
Kwa hiyo mamen wenzangu hii ni binge ya secreto, mkitaka kuchukua chukueni,kuweni Makini.
Tangu siku hiyo Mimi sikubali Dem anifute na kitambaa chake[emoji34][emoji34]baada ya kula mbususu yake,nipo 5 kilometers ahead from them[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Noma kuna jamaa yangu na yeye alikuwa akienda nje jogoo hawiki nadhani alipigwa hiyo TANCHI.
 
Ila wanawanyoosha na hii mada niliwahi kuandika humu

Michepuko ikiona hela inamfunga mwanaume chap bila kupoteza muda

Yaani na wawafunge watupe Kamba baharini [emoji57][emoji57]
 
Kuna binti alienda kwa mtaalamu ili amfunge mchepuko (mme wa mtu) awe anatii sheria bila shuruti, mtaalamu akamwambia huyu anaonekana mkewe kamfunga ila usijali tunamrekebisha tu....

Can u imagine!!! mke kafunga, mchepuko nae anafungua afunge kivyake, sa kuna mtu hapo? Wanaume ndio maana sometimes wanaact kama mazombie, sio akili zao...
 
Hiyo inaitwa DOUBLE IMPACT au TWANGA KOTE KOTE.
 
Mapenzi ya dawa ni kujisumbua tu, Mwisho wake huwa ni mbaya. Dawa ikiisha nguvu mtu unarudi kwenye uhalisia wako.
 
Kuna binti alienda kwa mtaalamu ili amfunge mchepuko (mme wa mtu) awe anatii sheria bila shuruti, mtaalamu akamwambia huyu anaonekana mkewe kamfunga ila usijali tunamrekebisha tu....

Can u imagine!!! mke kafunga, mchepuko nae anafungua afunge kivyake, sa kuna mtu hapo? Wanaume ndio maana sometimes wanaact kama mazombie, sio akili zao...

Aisee na ndiyo habari ya mjini hii
 
Sasa mie si ndo nataka jua niwe na alarm kichwani au nipe nondo PM
Tulizana bas, utengenezwe hadi njugu 2 hizo zijute kuning'inia chini ya kiuno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aina ya wanawake una date nao ndio hao[emoji848]!!!
Always upo hapa kutupa namna ya kutegua mitego ya wanawake na experience zako enhe tupe mpango mpya wa kujinasua hapa pia baby[emoji8][emoji8]
Nakwambia huwezi kumzidi mwanamke na bado hujakutana na mambo wewe[emoji28][emoji28]
Hujamaliza wanawake wote hao wachache unao wapatia huko wasikudanganye eti unatujua vizuri
Hakuna mwanaume amefanikiwa katika hilo
My take😀awa zimekuzidi mpaka huna cha kumfanya na ukizubaa utakuwa ndondocha endelea....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi nishawekewa sana hayo makitu na demu flani lakini ajabu bado alikuwa anaona simpendi..nampa majibu ya shombo yyani kiufupi yeye ndo akavurugwa na mimi.kunilaumu hakuishi lakini bado ananiganda tuu hadi leo.mda wowote namwita na anakuja yaani mrahisi sana kwangu!nahisi limbwata zake zilimrudia maana vitu konki nnavyotumia hakuna uchawi utaingia humu
Wee nae huna lolote, unapewa 1 hiyo akili zako zote zina simama kwa muda usiojulikana
 
Nilikua na Dem wangu mrangi toka kondoa,aliwahi niambiaga nikikuamulia hutoki nje hata siku moja,siku hiyo nikamdadisi akasema nikipata mchumba ntakwambia,Hamad,akatafutiwa mchumba kwao.
Alinimwagia secreto,ukienda kwa wanawake wengine usiwaamini Sana,mkikulana,usikubali wakufute na kitambaa,jifute mwenyewe,nilimuuliza why baby?[emoji15][emoji15] Kwa kuwa alinikubali Sana ananimwagia secreto[emoji2][emoji2] kwamba like kitambaa alichojifutia na wewe akikufutia akiamua kukifunga mafundi matatu na kuchanganya na majamboz mengine,husimami kamwe kwa mwanamke mwingine[emoji34][emoji34] zaidi yake.
Kwa hiyo mamen wenzangu hii ni binge ya secreto, mkitaka kuchukua chukueni,kuweni Makini.
Tangu siku hiyo Mimi sikubali Dem anifute na kitambaa chake[emoji34][emoji34]baada ya kula mbususu yake,nipo 5 kilometers ahead from them[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ndo ya kirangi, mbna imepitwa na wakati, sahivi mambwata new version, lol
 
Kuna binti alienda kwa mtaalamu ili amfunge mchepuko (mme wa mtu) awe anatii sheria bila shuruti, mtaalamu akamwambia huyu anaonekana mkewe kamfunga ila usijali tunamrekebisha tu....

Can u imagine!!! mke kafunga, mchepuko nae anafungua afunge kivyake, sa kuna mtu hapo? Wanaume ndio maana sometimes wanaact kama mazombie, sio akili zao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unadhan wafanyeje? Hakna namna.
 
Back
Top Bottom