Rwekaxa Autonomy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 461
- 498
Ushadakwa ww huna pakuponea mkuu!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampongeza kwa sababu ana lipigania penzi lake kwa Udi na UvumbaUmeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa
Yanini haya sasa jamaan?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani
Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu. Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh. Au ni Viungo? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo
Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
Uje unifundishe basiKwani unajua kupika we Mangi?
DahUnalogwa na mkeo, unalogwa na mchepuko, unalogwa kazini hapo lazma uwe roboti
Mchepuko akuloge mke nae akulogeNdugu zangu, wanaume wanachezewa sana [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] zinawezafanya ukatae chakula cha nyumbani.Qumanina hizi comments duh
Huyu sio mentaliPotelea mbali uchawi hauendi kwa mentali
Dada nae anakulogea nini tena 😂😂Mchepuko akuloge mke nae akuloge
Dada wa kazi akuloge kazini ulogwe. kuna usahihi wa wajane kuwa wengi.
Itakua anataka kupindua meza awe maza hausi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dada nae anakulogea nini tena [emoji23][emoji23]
Jamani jamani kweli wanaume mnachezewa....Itakua anataka kupindua meza awe maza hausi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichokiona hapo pichani kuna limbwata grade one kutoka kule Bukoba inaitwa shuntama, halafu kuna limbwata la nyama ya bundi kutoka Sumbawanga na hiyo nyingine ni mchanganyiko wa damu yake ya hedhi, kipande cha sanda, mchanga wa kwenye kaburi la mtoto mchanga, pamoja na kipande cha kamba ya mtu aliyejinyonga huo mchanganyiko ndo hiyo dawa ni balaa !Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa
Yanini haya sasa jamaan?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani
Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu. Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh. Au ni Viungo? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo
Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
Mamaeee duuuuNilichokiona hapo pichani kuna limbwata grade one kutoka kule Bukoba inaitwa shuntama, halafu kuna limbwata la nyama ya bundi kutoka Sumbawanga na hiyo nyingine ni mchanganyiko wa damu yake ya hedhi, kipande cha sanda, mchanga wa kwenye kaburi la mtoto mchanga, pamoja na kipande cha kamba ya mtu aliyejinyonga huo mchanganyiko ndo hiyo dawa ni balaa !
akikuwekea kwenye chai hutokuja kumuacha na akikukataa yeye lazima ujinyonge na mbaya zaidi hata siku ukimfumania huwezi kumuacha wala kuongea kitu utaishia kulia tu.!
Wasiliana na kaka Mshana Jr
fasta akusaidie mbinu ya kutegua hilo bomu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa
Yanini haya sasa jamaan?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani
Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu. Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh. Au ni Viungo? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo
Mie nakuta misosi misosi[emoji23][emoji23]View attachment 1794828View attachment 1794829View attachment 1794830
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentali
[emoji23][emoji23][emoji23]hataki usahau familia anataka tu yake yasonge na yanasongaSitomwambia, ila hatofanikiwa
Siwezi sahau familia yangu.
Usharogwa unajifariji tuPotelea mbali uchawi hauendi kwa mentali