Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

🤣🤣🤣yajayo yanafurahisha zaidi soon utakuwa ndondocha endelea kubaki hapo
 
Kwa michepuko mtalishwa hadi mavi

Mkiambiwa mtulie na wake zenu mnadai mwanaume atakuwaje na mwanamke mmoja

Haya sasa

Pole sana

Shukuru umeona!!!
 
Duh!

Ni manini hayo? Yanaonekana ni mauchafu [emoji1787].

Ndo madawa ya penzi?

Let me put you on game:

If you want to know what you’re eating then: buy it yourself, grow it yourself, kill it yourself, and make it yourself.

Other than that, there is a chance of you eating things that you wouldn’t normally eat, had you had full knowledge of what they are.
Kwahiyo hata msosi wangu hauli we msukuma?
 
Kuna binti alienda kwa mtaalamu ili amfunge mchepuko (mme wa mtu) awe anatii sheria bila shuruti, mtaalamu akamwambia huyu anaonekana mkewe kamfunga ila usijali tunamrekebisha tu....

Can u imagine!!! mke kafunga, mchepuko nae anafungua afunge kivyake, sa kuna mtu hapo? Wanaume ndio maana sometimes wanaact kama mazombie, sio akili zao...
Dah [emoji23][emoji23][emoji23] nyie viumbe nyie.
 
Tuko kwenye kipindi ambacho wanawake 10 wanataman kuishi na mwanaume mmoja haswa mwenye mafanikio.Ungejua wanachojadili mabinti walionje ya ndoa ...wanasema mchepuko bila limbwata haendi.Japo nikiri waz msiposimama katika kweli wanaume mna hatari kubwa mnakula sana vichafu

Huo uchafu tule tu kama sidhuriki hamna namna ntafanyaje mie utamu wenyewe ndio huo. Cha nyumbani kimezoeleka hakuna jipya, lazima tusitue kdg kdg nje.
 
Kuna binti alienda kwa mtaalamu ili amfunge mchepuko (mme wa mtu) awe anatii sheria bila shuruti, mtaalamu akamwambia huyu anaonekana mkewe kamfunga ila usijali tunamrekebisha tu....

Can u imagine!!! mke kafunga, mchepuko nae anafungua afunge kivyake, sa kuna mtu hapo? Wanaume ndio maana sometimes wanaact kama mazombie, sio akili zao...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom