Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

Nampongeza kwa sababu ana lipigania penzi lake kwa Udi na Uvumba
 
Ni Imani na Ujinga tu, hakuna uchawi wowote hapo.

Kungekuwa na uchawi kwa siku zote alizokupikia wala usingestukia na kuleta habari huku.

Ameaminishwa ujinga nawewe ukaamini baada ya kuona huo ujinga ujinga
 
Wanawake ni kucheza na akili zao tu.
Wakati unamgegeda jifanye umepandwa na maluwani, unaongea maneno as if kuna abnormal issue ipo, then inuka fanya unahangaika kutafuta kitu baadae nenda jikoni ukifika huko mwite muoneshe hizo unahisi ni dawa, fanya hvy huku kama haupo sawa yaani wenge fulani la maluwani.

Nakueleza hatokaa arudi ilo swala.... baadae kwenyw story mwambie kuwa we ulichanjiwa na babu yako huwa unaoneshwa kitu kibaya chenye kutaka kukudhuru.

Atakuogopa kinyama.
 
Nilichokiona hapo pichani kuna limbwata grade one kutoka kule Bukoba inaitwa shuntama, halafu kuna limbwata la nyama ya bundi kutoka Sumbawanga na hiyo nyingine ni mchanganyiko wa damu yake ya hedhi, kipande cha sanda, mchanga wa kwenye kaburi la mtoto mchanga, pamoja na kipande cha kamba ya mtu aliyejinyonga huo mchanganyiko ndo hiyo dawa ni balaa !
akikuwekea kwenye chai hutokuja kumuacha na akikukataa yeye lazima ujinyonge na mbaya zaidi hata siku ukimfumania huwezi kumuacha wala kuongea kitu utaishia kulia tu.!
Wasiliana na kaka Mshana Jr
fasta akusaidie mbinu ya kutegua hilo bomu.
 
Mamaeee duuuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…