Umeamua kwa Hiyari yako kua na mtu, unajua nayeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa
Yanini haya sasa jamaan?
Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia Hata mama yangu hajawah pika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka kwenda zake Kanisan, kaniachaa, ndo nikasema niingie Jikon nichemshe Chai, sasa kutafuta majani
Asalaleeeeeeeee nakutana nahaya majitu. Mdada mzuuuurii, mwenye elimu na kazi yake daaaaaaahhhhh. Au ni Viungo? Kumbe ndo maana siku nikiwepo, yeye anakula Chips tena anakuambiaa, Niletee Chips yai na kuku robo