Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Nime Kiswahili cha Assembling lambda nitakuelewa, Maana mimi nimeandika kwa Kiswahili,
 
Hii umeongea kweli maana ata Iphone za apple vioo vyao wanatengenezewa na samsung
 
Ungewapongeza watengenezaji kwani huenda Samia hata hajui hili. Kusifiana uongo zama zake zimepita.
Uko sahihi hii Project imeanza mwaka 2015 kwa kuanza kujenga Kiwanda. Niliwahi tembelea hapo wakati ndio kwanza anajenga msingi. Aliniambia alimpeleka Mtoto wake China kusomea jinsi ya kuweka urembo/Decoration ndani ya Bus
 
Hebu taja hizio kazi! Wewe uko Tanzania au nchi gani. Hivi unaielewa wewe hali ya sasa hivi au unabwabwaja tu!
 
ni kazi ya jpm hii,mama hajuo lolote kuhusu hili.
Naona mnaendelea mapambio au kuanzisha ligi zilezile za mara ahsante Rais JPM au Rais Samia kuunda sijui mabasi, badala ya kusema labda kwa kiufupi tu, kupongeza watanzania au serikali kwa ujumla,si ingetosha tu jamani..sijui Rais moja kwa moja anaingiaje???...... yaani kazi kwelikweli.
 
Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
Hata ndege nao wako hivyohivyo naona huwa ni ngumu kila kitu kumaliza mwenyewe
 
Sifa za kijinga hadi lini?
 
Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
Acha Uongo, umeangalia gari za Toyota and Land Rover? Kila kitu hutengeneza wenyewe kasoro matairi. Ndio maana spea zote zina lebo yao
 
Msiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
This particular one is made in TZ in a sense that imported steel, glass, wires, engine etc. and Tanzanians designed and put together all the components to make a bus.
 
Mbona hizo Gari zilitengenezwa zamani Toka Magufuri yupo..Upendo nyagawa Ndio mtengenezaji kiwanda kipo kibaha pwani...Wewe vipi???¿??¿
 
Acha Uongo, umeangalia gari za Toyota and Land Rover? Kila kitu hutengeneza wenyewe kasoro matairi. Ndio maana spea zote zina lebo yao
Label haimfanyi kuwa ndiyo mtengenezaji mkuu. Nimeshuhudia kwa macho yangu nikiwa first year tulienda class tour kwenye kiwanda fulani wanatengeneza filters, spanners na makorokoro mengi tu ya magari. Hapo tulikuta wana order ya Scania ya kuwatengenezea wheel spanners na wanaweka label z scania, hilo lilinifanya kuuliza kwa nini iwe hivyo, wakasema ndivyo mkataba ulivyo.
 
Basi wayatengeneze mengi ili bei za nauli mikoani ziweze kupungua
 
Assembled in TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…