Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza.
Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa.
Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa inasikika ya Mh Tundu Lissu. Walionekana wakifurahi sana zile hotuba.
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana, mtu anashinda Ccm usiku analala Chadema. Kalagha Bahoo!.
Ulishawahi kusikia Mgombea aliyekuwa anashangiliwa na Washabiki lakini Mwisho wa Uchaguzi Hata Watoto na Mke wake hawakumpa Kura?
😅😅😅