Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.
Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.
Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .
Nikaonyesha kuhamasika , nikasogea nao mbele kidogo.
Kwenye sehemu ya kujaza details nikaona nisijaze zangu nisije jikuta naishia mikononi mwa Mafwele ,nikaona wacha nijaze jina na kitambulisho cha kura cha Mjomba wangu ambaye ni marehemu (Mungu anisamehe na ampe pumziko jema huko aliko)
Utaratibu wao baada ya kujaza taarifa zako hupaswa kusubiri baada ya saa 1 hadi 72 ndiyo watakujibu.
Paliponiogopesha kabisa ni majibu yao.
Muhusika anatoa maelekezo kwa kuongea kabisa (ule uongeaji wa customer Care) japo wanaoption ya kuchagua lugha (sasa sijui AI au mtu halisi mimi hapo sijajua .
Ndani ya nadhani dakika 30-46 hivii nikakutana na majibu kuwa mwenye taarifa husika ameshafariki ,wakanitajia tarehe ya kifo pamoja na tarehe aliyozikwa sambamba na picture mbili za tukio la mazishi yake lakini mwishoni wakahitimisha kwa kusema .
Ikiwa bado ninauhitaji napaswa kujaza taarifa sahihi kisha wakanitakia wakati mwema .
Tangu siku hiyo nimekuwa na mashaka sana na wamiliki wa ile link japo hizo taarifa nimekuwa nikizisikia sana misibani kuwa nikweli hata wengine washakutana pia na hizo link.
Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?
Naomba kwa kupiga magoti ,ikiwa wajuba ndiyo washaingia ,dah! aisee tupo pabaya .
Ikiwa ni mtego wa Police ,naona kama inaweza ikafanikiwa sana kukamata wengi wenye uhitaji na hizo siraha .
Kwa hofu nikajitoa kabisa kwenye ile sijui lipage sijui ni website ambayo inajihusisha na uuzaji wa vitu mbalimbali tu kutoka China na kwingineko huko Duniani.