MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Risasi ni bei chee mtu anaweza kujaribu kununua Risasi
Polisi wa bongo hawawezi kuwa na akili za kufanya kitu kama hicho, hawa akina kaaya wa forensic? Akina Kingazi wa Rau juu?....hapana, labda wameajiri kampuni binafsi, lkn bado nakataa hilo wazo sioni wa kulileta kutoka pande zile. They are so . mechanicalTangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.
Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.
Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .
Nikaonyesha kuhamasika , nikasogea nao mbele kidogo.
Kwenye sehemu ya kujaza details nikaona nisijaze zangu nisije jikuta naishia mikononi mwa Mafwele ,nikaona wacha nijaze jina na kitambulisho cha kura cha Mjomba wangu ambaye ni marehemu (Mungu anisamehe na ampe pumziko jema huko aliko)
Utaratibu wao baada ya kujaza taarifa zako hupaswa kusubiri baada ya saa 1 hadi 72 ndiyo watakujibu.
Paliponiogopesha kabisa ni majibu yao.
Muhusika anatoa maelekezo kwa kuongea kabisa (ule uongeaji wa customer Care) japo wanaoption ya kuchagua lugha (sasa sijui AI au mtu halisi mimi hapo sijajua .
Ndani ya nadhani dakika 30-46 hivii nikakutana na majibu kuwa mwenye taarifa husika ameshafariki ,wakanitajia tarehe ya kifo pamoja na tarehe aliyozikwa sambamba na picture mbili za tukio la mazishi yake lakini mwishoni wakahitimisha kwa kusema .
Ikiwa bado ninauhitaji napaswa kujaza taarifa sahihi kisha wakanitakia wakati mwema .
Tangu siku hiyo nimekuwa na mashaka sana na wamiliki wa ile link japo hizo taarifa nimekuwa nikizisikia sana misibani kuwa nikweli hata wengine washakutana pia na hizo link.
Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?
Naomba kwa kupiga magoti ,ikiwa wajuba ndiyo washaingia ,dah! aisee tupo pabaya .
Ikiwa ni mtego wa Police ,naona kama inaweza ikafanikiwa sana kukamata wengi wenye uhitaji na hizo siraha .
Kwa hofu nikajitoa kabisa kwenye ile sijui lipage sijui ni website ambayo inajihusisha na uuzaji wa vitu mbalimbali tu kutoka China na kwingineko huko Duniani.
Nakubaliana na hoja yako mkuu , jamaa wanadakili ndogo sana kwenye kudeal na issue zakiusalama kiasi kunabaadhi ya mambo huwa yanazalisha matokeo tofauti na matarajio kiasi cha kuzalisha maswali hivi faida ya haya moja mbili tatu ni ipi hasa , anyway wasije wakaona kama tumekosa heshima kwao ila No ,kwa level ya kitaifa tukubaliane tu kuwa bado tunachangamoto kwenye hilo eneo.Polisi wa bongo hawawezi kuwa na akili za kufanya kitu kama hicho, hawa akina kaaya wa forensic? Akina Kingazi wa Rau juu?....hapana, labda wameajiri kampuni binafsi, lkn bado nakataa hilo wazo sioni wa kulileta kutoka pande zile. They are so . mechanical
Mkuu serikali inaweza kulipa watu wenye akili mpunga wowote ule ili kuweka mtegoPolisi wa bongo hawawezi kuwa na akili za kufanya kitu kama hicho, hawa akina kaaya wa forensic? Akina Kingazi wa Rau juu?....hapana, labda wameajiri kampuni binafsi, lkn bado nakataa hilo wazo sioni wa kulileta kutoka pande zile. They are so . mechanical
Sikueleza kuwa hakuwahi kutumia mitandao.Umeeleza kiasi cha kutosha vizuri kwenye baadhi ya maeneo; kama hili la akina Mafwele, lakini siyo maeneo yote.
Sasa mweleze, mkuu 'Criss' ni namna gani waliweza kupata taarifa za huyo marehemu kikamilifu namna ile, ikiwa huyo marehemu hakuwahi kutumia mitandao hiyo; hizi taarifa zake, pamoja na pcha za msiba zilifika fikaje kwenye hiyo mitandao!
Binasi naona 'Criss' mwenyewe taarifa zake hazikunyooka.
Mleta mada kama uko vizuri kwenye kuseaech kwenye deep web search kitabu kinaitwa "Mujaheeden Manual"Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.
Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.
Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .
Nikaonyesha kuhamasika , nikasogea nao mbele kidogo.
Kwenye sehemu ya kujaza details nikaona nisijaze zangu nisije jikuta naishia mikononi mwa Mafwele ,nikaona wacha nijaze jina na kitambulisho cha kura cha Mjomba wangu ambaye ni marehemu (Mungu anisamehe na ampe pumziko jema huko aliko)
Utaratibu wao baada ya kujaza taarifa zako hupaswa kusubiri baada ya saa 1 hadi 72 ndiyo watakujibu.
Paliponiogopesha kabisa ni majibu yao.
Muhusika anatoa maelekezo kwa kuongea kabisa (ule uongeaji wa customer Care) japo wanaoption ya kuchagua lugha (sasa sijui AI au mtu halisi mimi hapo sijajua .
Ndani ya nadhani dakika 30-46 hivii nikakutana na majibu kuwa mwenye taarifa husika ameshafariki ,wakanitajia tarehe ya kifo pamoja na tarehe aliyozikwa sambamba na picture mbili za tukio la mazishi yake lakini mwishoni wakahitimisha kwa kusema .
Ikiwa bado ninauhitaji napaswa kujaza taarifa sahihi kisha wakanitakia wakati mwema .
Tangu siku hiyo nimekuwa na mashaka sana na wamiliki wa ile link japo hizo taarifa nimekuwa nikizisikia sana misibani kuwa nikweli hata wengine washakutana pia na hizo link.
Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?
Naomba kwa kupiga magoti ,ikiwa wajuba ndiyo washaingia ,dah! aisee tupo pabaya .
Ikiwa ni mtego wa Police ,naona kama inaweza ikafanikiwa sana kukamata wengi wenye uhitaji na hizo siraha .
Kwa hofu nikajitoa kabisa kwenye ile sijui lipage sijui ni website ambayo inajihusisha na uuzaji wa vitu mbalimbali tu kutoka China na kwingineko huko Duniani.
Ikiwa hivyo ndivyo mbona inakwama kwenye mambo mengi na mwisho inaishia kufanya mambo yanayoipelekea ihaibike tu mbele ya macho ya watu wanaofikiri sawasawa.Mkuu serikali inaweza kulipa watu mpunga wowote ule watu wenye akili ili kuweka mtego
Sasa huu ndio ushauri, nimeshasema mahali safari hii kabla ya kumpiga au kuchoma kituo polisi lazima aseme Silaha zao zinakaa wapi mkizishika ndio mnachoma vituo.Mkuu, silaha za kimagendo hazinunui online. Naona internet imelemaza watu na wanadhani kila kitu unanunua online. Silaha za magendo zinanunuliwa kutokana na connection. Utakuwa wewe ni mwendawazimu kama utapatana na mtu online kutaka kununua silaha. BTW Hakuna kosa waandanamaji watakalofanya kama kununua silaha. Ununue ya nini wakati polisi wanazo? Ni hivi: maandamano ya juzi may be ni kwa sababu ilikuwa ni mara ya kwanza. ''Polisi'' (soma wauaji) walipoanza kutembea huku wanawinda watu kama swala, walitakiwa kugeuziwa kibao na wanyang'anywe silaha ili waandamanaji watumie kujitetea. Makundi ya vijana walikuwa wanalazwa chini na kupigwa risasi na kikundi kidogo cha askari eg 8. Hivi wangewekwa mtu kati na kundi la wananchi kama 100 si wanganyang'anywa silaha zote? Kanuni moja ya kupambana na mtu mwenye silaha kama bunduki au inasema: Ukimbie, charge mbio kuelekea alipo, na kupambana naye. (hii ni baada ya kumvizia na kuwa karibu naye)
Uwezo unao?Mbona ni mambo ya kawaida..silaha ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya kama yale makumanina yaliyokua yanaua watu ovyo hata unarmed civilians .Yan nasema wale mbwa Kuna silaha nyie hamuwez kua nayo hio ningeipata Mimi wale mbwa wanne sjui watano wangekua maiti siku Ile Ile....
Hicho kitabu ni cha Taliban... Kama wewe ni mtaalamu na uko Serious jifunze vitu viwili.Sawa mkuu ,nakushukuru umeniongezea kitu Chief.
Hicho kitabu ni cha Taliban... Kama wewe ni mtaalamu na uko Serious jifunze vitu viwili.
1. Kuunda au kupata fuse ya grenade
2. Drone, hapa unaweza kuongea na wachina wakutengenezee ambayo inaweza kubeba mzigo kama chupa ya plastiki ya maji au kubeba chupa za energy drinks.
Hizo Chupa unaweza kuzibadili kubwa Grenades, pia kupitia hicho kitabu unaweza kujua nini na nini uchanganye kuunda grenade
Binafsi nimeenda hayo maduka rasmi nikaambiwa mchakato ni mrefu sana na unaweza kuchukua muda mrefu sana. Nilienda huko mwaka jana, muda mrefu kabla ya MO29. Nikadhani labda wanataka nijiongeze ili waharakishe mchakato au walitaka tu nisipate gobole langu.Sio kosa kisheria kwa mtu yoyote kumiliki silaha yoyote for self defense or for fun, hunting.
Wauza silaha watakujazia fomu na kukuombea kibali toka jeshi la polisi. Kama una mashaka nao kwasababu ni online, then nenda duka la Tanganyika Arms, pale next to stesheni ya treni ya zamani opposite central Police, unachagua, unalipia, unaombewa kibali, unapewa mafunzo, unakabidhiwa chuma chako.
P
Mafwele ni noma, mtu kaziHii movement nzuri. Ila ole wako ukamatwe na silaha Mafwele alivyokatili. Kurudisha tu mabaiskel na tshet unaswekwa ndani. Nigger ni binadamu katili sana.
Sasa wanapata faida gani kuuza hizo silaha kama mchakato ni mrefu? Au ni duka la serikaliBinafsi nimeenda hayo maduka rasmi nikaambiwa mchakato ni mrefu sana na unaweza kuchukua muda mrefu sana. Nilienda huko mwaka jana, muda mrefu kabla ya MO29. Nikadhani labda wanataka nijiongeze ili waharakishe mchakato au walitaka tu nisipate gobole langu.
Ndiyo duka la serikaliSasa wanapata faida gani kuuza hizo silaha kama mchakato ni mrefu? Au ni duka la serikali