Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.

Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.
Mimi nishaziona sana hata kabla ya dalili za maandamano kuna pistol niliona inauzwa kwa 5 USD ni kama 12000 ya kitanzania
 
Binafsi nimeenda hayo maduka rasmi nikaambiwa mchakato ni mrefu sana na unaweza kuchukua muda mrefu sana. Nilienda huko mwaka jana, muda mrefu kabla ya MO29. Nikadhani labda wanataka nijiongeze ili waharakishe mchakato au walitaka tu nisipate gobole langu.
Wamekudanganya, mchakato sio mrefu sana kivile,

1. Uwe Mtanzania
2. Uwe na umri miaka 25. Hii ni kuhakikisha kwamba silaha zinaangukia mikononi mwa watu wazima wenye uwezo wa kufanya maamuzi ya busara.
3. lazima uwe na cheti cha uwezo. Unakipata polisi baada ya mafunzo ya kuitumia. Hii ni kama mtihani wa kuonyesha kwamba unajua jinsi ya kutumia silaha kwa usalama na kwa nia njema.
4. Uwe na akili timamu na usiwe na tabia ya ugomvi. Tunataka silaha ziwe mikononi mwa watu wanaoweza kudhibiti hasira zao.

5. usiwe tegemezi wa dawa za kulevya au narkotiki. Hii ni wazi, tunataka kuepuka hatari zinazoweza kutokea mtu akiwa chini ya ushawishi wa vitu hivi.

6. usiwe na rekodi ya uhalifu. Kama umewahi kufanya makosa makubwa, basi huwezi kupewa leseni ya kumiliki silaha.

Na mwisho, usiwe na ulemavu wa akili au uzembe unaoweza kukufanya ushindwe kumiliki silaha kwa usalama.

Nimekuwekea fomu hapo jaza
View attachment 3000378

gharama za kumiliki silaha kisheria ni kama zifuatazo :
(a) Kwa mtu asiye mtanzania -$150
(b) Ada ya mafunzo ya uwezo- TZS. 40,000/=
(c) Upimaji wa uwezo wa mara kwa mara --TZS. 20,000/=

(d) Gharama za kurenew leseni
- Bastola TZS. 70,000/=
- Bunduki TZS. 35,000/=

Wewe tu, wahi kupata chuma chako

P
 
Uwezo unao?
Mimi ni fukara...Sina uwezo wa kununua machine gun ..ila kama uwezo huo ungekuepo wale mbwa wangekua maiti..tena eti wanatembea kindezi sana very easy target nisingepata shida yoyote manina ..eti mengine yanakaa juu ya gari pumbavu kabisa. ..wameua watanzania MASKINI na mafukara wasio na hatia ambao walikua unarmed...unaua mmama na mtoto wake unajitapa kua una jua mbinu za kivita..bladfaken fools. ...unaua watu wamekaa sebleni ndani unawarushia risasi huko huko majumbani mwao who motherfucker does that ...
 
Si mlitaka kupindua serikali ya TZ?
 
Si mlitaka kupindua serikali ya TZ?
Akina nani...wale mbwa wanne sjui sita waliokua wanaua akina mama, akina baba na watoto wadogo kwa vijana au hao waliouliwa ndio walikua wanataka kupindua serikali ...jibu haraka ...
 
Wamekudanganya, mchakato sio mrefu sana kivile,

1. Uwe Mtanzania
2. Uwe na umri miaka 25. Hii ni kuhakikisha kwamba silaha zinaangukia mikononi mwa watu wazima wenye uwezo wa kufanya maamuzi ya busara.
3. lazima uwe na cheti cha uwezo. Unakipata polisi baada ya mafunzo ya kuitumia. Hii ni kama mtihani wa kuonyesha kwamba unajua jinsi ya kutumia silaha kwa usalama na kwa nia njema.
4. Uwe na akili timamu na usiwe na tabia ya ugomvi. Tunataka silaha ziwe mikononi mwa watu wanaoweza kudhibiti hasira zao.

5. usiwe tegemezi wa dawa za kulevya au narkotiki. Hii ni wazi, tunataka kuepuka hatari zinazoweza kutokea mtu akiwa chini ya ushawishi wa vitu hivi.

6. usiwe na rekodi ya uhalifu. Kama umewahi kufanya makosa makubwa, basi huwezi kupewa leseni ya kumiliki silaha.

Na mwisho, usiwe na ulemavu wa akili au uzembe unaoweza kukufanya ushindwe kumiliki silaha kwa usalama.

Nimekuwekea fomu hapo jaza
View attachment 3000378

gharama za kumiliki silaha kisheria ni kama zifuatazo :
(a) Kwa mtu asiye mtanzania -$150
(b) Ada ya mafunzo ya uwezo- TZS. 40,000/=
(c) Upimaji wa uwezo wa mara kwa mara --TZS. 20,000/=

(d) Gharama za kurenew leseni
- Bastola TZS. 70,000/=
- Bunduki TZS. 35,000/=

Wewe tu, wahi kupata chuma chako

P
Sawasawa. Na mimi nilihisi wananibania. Naomba uscreenshot hiyo fomu. Sipo tayari kudownload chochote kipindi hiki kutoka humu ndani.
 
hydroxo usicheke. Nakumbuka tuhuma fulani, jamaa aliwahi kumchoma mwandishi mwenzake. Siyo wa kumuamini huyu.
Kabisa.

Ukienda kichwa kichwa anakupoteza.

Anajifanya kufundisha watu kumilki silaha huku ana neglect a current situation.

Kwa kipindi hiki hakuna serikali itkayokupa silaha hata uwe mwem na rafiki yao vipi.

Ni kwenda kwa umakini sana humu.
 
Sawasawa. Na mimi nilihisi wananibania. Naomba uscreenshot hiyo fomu. Sipo tayari kudownload chochote kipindi hiki kutoka humu ndani.
Screenshot_20251108-080535.png
 
Sikueleza kuwa hakuwahi kutumia mitandao.

Nimeeleza nilitumia kitambulisho chake .

Hii inathibitisha kuwa yawezekana taarifa zake walizipata kupitia humo, simnajua tena pengine mifumo imeungana kama vile alivyowahi kueleza Balozi Polepole kuwa mifumo imeumgana 🤣🤣
Mkuu 'Criss', huko mwanzo ulivyo anza kuwa maarufu kwa kupandisha mada humu JF, kidogo nilikuwa naelewa maudhui ya mada hizo.

Sasa hivi nashindwa kabisa kuelewa unacho simamia hasa kwa mabandiko yako haya.

Ni kama unaashindana wewe mwenyewe kuchanganya na kuvuruga watu wasielewe unacholenga hasa kukieleza.
 
Kabla ya siku ya uchaguzi kuna duka moja lipo Dar niliona kwenye Instagram wanauza manati na gololi zake, kwenye tangazo lao kulikuwepo na maneno ya "WAPI PA KUYATUMIA UTAJUA MWENYEWE'
 
Mkuu 'Criss', huko mwanzo ulivyo anza kuwa maarufu kwa kupandisha mada humu JF, kidogo nilikuwa naelewa maudhui ya mada hizo.

Sasa hivi nashindwa kabisa kuelewa unacho simamia hasa kwa mabandiko yako haya.

Ni kama unaashindana wewe mwenyewe kuchanganya na kuvuruga watu wasielewe unacholenga hasa kukieleza.
Kanuni inasema usiruhusu mtu mwingine kukuelewa kwa kiwango cha 100% .

Ikitokea kunamahali unashindwa kunielewa jua nipo kwenye uelekeo mzuri 🤣 maana utaendelea kunifuatilia ili unielewe zaidi.

Nadhani napaswa kujipongeza kwa kushindwa kueleweka na mtu makini kabisa kama Mh Kalamu 🤣
 
Achana na mitandao ya Tanzania...
Hapa hakuna mitandao ya kijamii inayotumika kuzidi tiktok, Instagram au Facebook na X hapa nchini....
Na hii yote sio mitandao ya Tanzania...
Laiti ungejua jinsi hata huko inakotoka kuna vita kubwa ya jinsi hii mitandao imekuwa ni tishio kwa maisha ya kila siku ya mzungu...
Ni hivi, unapofungua akauti kwenye hio mitandao, haijalishi una tumia taarifa zako kamili, lakini kwao huko wenye nia ya kujisajili mara nyingi wanatumia taarifa zao kamili...hapo ndio unakamilisha msamiati wa Big Data, maana yake wanapokuwa na taarifa nyingi za watumiaji ndio wanakuwa na nguvu ya ushawishi....
Sasa ukishakuwa na akauti humo, ni kama umejipeana na algorithms zao, maana yake kila utakachokiangalia huko kutumia akaunti yako kina hifadhiwa na na vitu vinaitwa cookies(sijui kiswahili maana yake), hii ikimaanisha wanajua unatumia chombo gani kutumia mitandao yao, na pia anuani yako ya kimtandao inatokea nchi gani, na vitu gani unapenda kuangalia au kutafuta kwenye mitandao yao.....

Siku ukigonga kuangalia mauaji ya kutisha, utalewa taarifa za mauaji ya kutisha mwanzo mwisho kila ukiingia kwenye akaunti yako, mpaka siku ukibadilisha na kutafuta aina ya silaha, nako pia utaletewa kila aina ya silaha na wauzaji wake kwa kwenda mbele..., hivyo ndivyo Social Media Algorithms zinavyofanya kazi....

Sasa kama wewe unakutana na hizo za silaha, lazima ulijichanganya na kuanza kuangalia mitandao ya silaha.....

Kina Mafwele hawana uwezo huo wa kukutumia link za silaha kienyeji enyeji...
Je hizo link unatumiwa kwenye nini?
Umeelezea vizuri sana na kweli algorithm ndo hivyo inavyofanya kazi. Swali walijuaje uncle wake kama na amezikwa wapi? Hii haiwezi kuwa kwenye radar zao. Hata database za uzazi na kifo za Tanzania haziwezi kuwa na taarifa mtu amezikiwa wapi!!!
 
Nakubaliana na hoja yako mkuu , jamaa wanadakili ndogo sana kwenye kudeal na issue zakiusalama kiasi kunabaadhi ya mambo huwa yanazalisha matokeo tofauti na matarajio kiasi cha kuzalisha maswali hivi faida ya haya moja mbili tatu ni ipi hasa , anyway wasije wakaona kama tumekosa heshima kwao ila No ,kwa level ya kitaifa tukubaliane tu kuwa bado tunachangamoto kwenye hilo eneo.
Kwenye Security Alert ya USA walizema "Tanzania police have no ability to counter serious crime"

Nilichoka
 
Umeelezea vizuri sana na kweli algorithm ndo hivyo inavyofanya kazi. Swali walijuaje uncle wake kama na amezikwa wapi? Hii haiwezi kuwa kwenye radar zao. Hata database za uzazi na kifo za Tanzania haziwezi kuwa na taarifa mtu amezikiwa wapi!!!
Sijui unakwama wapi mkuu , ukishaelewa maana ya Big Data huwezi sumbuka na hilo swali hasa kwenye Dunia hii ya technology .

Wacha nikusogeze mbele kidogo.

Hivi unafahamu kuna technology ambayo kwakutumia tu picture ya mtu unaweza kujua muhusika au wahusika wa picture ni kina nani ,picha ilipigwa lini ,wapi na kwa kutumia chomo gani ,unafahamu hilo ?

Ikiwa hilo unalifahamu na unakubaliana nalo sasa ugumu wa kutumia picture moja kusaska picture zingine popote Duniani litakuwa ni jambo gumu kwakiasi gani?

Lakini kwakumalizia tu ,hivi unaijua vizuri Black web? Unawajua vizuri watumiaji wake wakuu na sifa zao ?

Wacha Bro ,hayo maswali yako yalishakuwaga na majibu karibu miaka mingi iliyopita .
 
Kanuni inasema usiruhusu mtu mwingine kukuelewa kwa kiwango cha 100% .

Ikitokea kunamahali unashindwa kunielewa jua nipo kwenye uelekeo mzuri 🤣 maana utaendelea kunifuatilia ili unielewe zaidi.

Nadhani napaswa kujipongeza kwa kushindwa kueleweka na mtu makini kabisa kama Mh Kalamu 🤣
Utakuwa "unajipongeza" kwa kutoelewa kilichomo ndani ya ujumbe uliopaswa kuuelewa kabla ya "kujipongeza".
 
Sijui u akwama wapi mkuu , ukishaelewa maana ya Big Data huwezi sumbuka na hilo hasa kwenye Dunia hii ya mitandao .

Wacha nikusogeze mbele kidogo.

Hivi unafahamu kuna technology ambayo kwakutumia tu picture yako inaweza kujua muhusika au wahusika ni kina nani ,picha ikipigwa lini kwa kutumia chomo gani ,unafahamu hilo ?

Ikiwa hilo unalifahamu na unakubaliana nalo sasa ugumu wa kutumia picture moja kusaska picture zingine popote Duniani litakuwa ni jambo gumu kwakiasi gani?

Lakini kwakumalizia tu ,hivi unaijua vizuri Black web? Unawajua vizuri watumiaji wake wakuu na sifa zao ?

Wacha Bro ,hayo maswali yako yalishakuwaga na majibu karibu bu miaka mingi iliyopita .
Ungetumia muda tu kunipa logic ningekuelewa zaidi . Otherwise huko black web kama ni rahisi kuunganisha unganisha vimatukio tu basi CIA na FBI wasingetumia miaka kumtafuta Osama; au mashirika ya ujasusi na uchunguzi yasingetumia miaka kutafuta top wanted fugitive duniani. Bro punguza sigara
 
Back
Top Bottom