Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

Yaani wewe uone hayo matangazo alafu wale wazima mitandao kule TISS wasione kabla yako, au waone alafu waiache tu hiyo Link hewani? Ukilinganisha wafanya fujo wanakuja na silaha next time hivyo kuzuia na kukamata wenye/wanunuzi silaha ndio hatua bora zaidi?

Nah, mtego huo. Na kama ni kweli basi umefanya kitendo cha hatari sana mkuu.
 
Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?
Sio kosa kisheria kwa mtu yoyote kumiliki silaha yoyote for self defense or for fun, hunting.

Wauza silaha watakujazia fomu na kukuombea kibali toka jeshi la polisi. Kama una mashaka nao kwasababu ni online, then nenda duka la Tanganyika Arms, pale next to stesheni ya treni ya zamani opposite central Police, unachagua, unalipia, unaombewa kibali, unapewa mafunzo, unakabidhiwa chuma chako.

P
 
Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.

Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.

Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .

Nikaonyesha kuhamasika , nikasogea nao mbele kidogo.

Kwenye sehemu ya kujaza details nikaona nisijaze zangu nisije jikuta naishia mikononi mwa Mafwele ,nikaona wacha nijaze jina na kitambulisho cha kura cha Mjomba wangu ambaye ni marehemu (Mungu anisamehe na ampe pumziko jema huko aliko)

Utaratibu wao baada ya kujaza taarifa zako hupaswa kusubiri baada ya saa 1 hadi 72 ndiyo watakujibu.

Paliponiogopesha kabisa ni majibu yao.

Muhusika anatoa maelekezo kwa kuongea kabisa (ule uongeaji wa customer Care) japo wanaoption ya kuchagua lugha (sasa sijui AI au mtu halisi mimi hapo sijajua .

Ndani ya nadhani dakika 30-46 hivii nikakutana na majibu kuwa mwenye taarifa husika ameshafariki ,wakanitajia tarehe ya kifo pamoja na tarehe aliyozikwa sambamba na picture mbili za tukio la mazishi yake lakini mwishoni wakahitimisha kwa kusema .

Ikiwa bado ninauhitaji napaswa kujaza taarifa sahihi kisha wakanitakia wakati mwema .

Tangu siku hiyo nimekuwa na mashaka sana na wamiliki wa ile link japo hizo taarifa nimekuwa nikizisikia sana misibani kuwa nikweli hata wengine washakutana pia na hizo link.

Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?

Naomba kwa kupiga magoti ,ikiwa wajuba ndiyo washaingia ,dah! aisee tupo pabaya .

Ikiwa ni mtego wa Police ,naona kama inaweza ikafanikiwa sana kukamata wengi wenye uhitaji na hizo siraha .

Kwa hofu nikajitoa kabisa kwenye ile sijui lipage sijui ni website ambayo inajihusisha na uuzaji wa vitu mbalimbali tu kutoka China na kwingineko huko Duniani.
Tusanue link Mkuu tusaidie wengine
 
Kina Mafwele hawana uwezo huo wa kukutumia link za silaha kienyeji enyeji...
Je hizo link unatumiwa kwenye nini?
Umeeleza kiasi cha kutosha vizuri kwenye baadhi ya maeneo; kama hili la akina Mafwele, lakini siyo maeneo yote.

Sasa mweleze, mkuu 'Criss' ni namna gani waliweza kupata taarifa za huyo marehemu kikamilifu namna ile, ikiwa huyo marehemu hakuwahi kutumia mitandao hiyo; hizi taarifa zake, pamoja na pcha za msiba zilifika fikaje kwenye hiyo mitandao!

Binasi naona 'Criss' mwenyewe taarifa zake hazikunyooka.
 
Mbona ni mambo ya kawaida..silaha ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya kama yale makumanina yaliyokua yanaua watu ovyo hata unarmed civilians .Yan nasema wale mbwa Kuna silaha nyie hamuwez kua nayo hio ningeipata Mimi wale mbwa wanne sjui watano wangekua maiti siku Ile Ile....
 
Chochote unacho google ndio utakachopata.
Wewe inaonekana umetafuta na ku google na ukapata maana sio kitu cha ku pop up tu
 
Achana na mitandao ya Tanzania...
Hapa hakuna mitandao ya kijamii inayotumika kuzidi tiktok, Instagram au Facebook na X hapa nchini....
Na hii yote sio mitandao ya Tanzania...
Laiti ungejua jinsi hata huko inakotoka kuna vita kubwa ya jinsi hii mitandao imekuwa ni tishio kwa maisha ya kila siku ya mzungu...
Ni hivi, unapofungua akauti kwenye hio mitandao, haijalishi una tumia taarifa zako kamili, lakini kwao huko wenye nia ya kujisajili mara nyingi wanatumia taarifa zao kamili...hapo ndio unakamilisha msamiati wa Big Data, maana yake wanapokuwa na taarifa nyingi za watumiaji ndio wanakuwa na nguvu ya ushawishi....
Sasa ukishakuwa na akauti humo, ni kama umejipeana na algorithms zao, maana yake kila utakachokiangalia huko kutumia akaunti yako kina hifadhiwa na na vitu vinaitwa cookies(sijui kiswahili maana yake), hii ikimaanisha wanajua unatumia chombo gani kutumia mitandao yao, na pia anuani yako ya kimtandao inatokea nchi gani, na vitu gani unapenda kuangalia au kutafuta kwenye mitandao yao.....

Siku ukigonga kuangalia mauaji ya kutisha, utalewa taarifa za mauaji ya kutisha mwanzo mwisho kila ukiingia kwenye akaunti yako, mpaka siku ukibadilisha na kutafuta aina ya silaha, nako pia utaletewa kila aina ya silaha na wauzaji wake kwa kwenda mbele..., hivyo ndivyo Social Media Algorithms zinavyofanya kazi....

Sasa kama wewe unakutana na hizo za silaha, lazima ulijichanganya na kuanza kuangalia mitandao ya silaha.....

Kina Mafwele hawana uwezo huo wa kukutumia link za silaha kienyeji enyeji...
Je hizo link unatumiwa kwenye nini?

Mkuu nawewe unaonekana kumbe ni mtu wa gizani pia (Black web ) of course huko nimeishi ishi kiaina na kunanyakati nilikuwa siwezi maliza siku kama sijabahatika kugusa makaratasi yenye maandishi ya waandishi nguli wa Big data kama Davenport, Marr, na Siegel kimsingi hii miamba imenisaidia sana kunisafisha vumbi kwenye eneo la kibiashara ngumu na nyepesi pamoja na siasa zakihuni huku miamba kama Mayer-Schonberger na Cukier, Cathy O'Neil ,Bernard Marr na Phil Simon .
kwa upande wa jamii na maadili (ustaarabu kwa ujumla) siunajua tena biashara ngumu hupenda sana kujificha kwenye muonekano na matendo ya kistaarabu 🤣🤣

Mwanzo nilivutiwaga sana na Marr kwa utaalam wake wa kiuandishi wa lugha rahisi unaobeba ujumbe mzito unaomfanya mtu yeyote kuelewa bila kutumia gharama kubwa

Nikawasomaga sana kina Kenneth Cukier na Viktor Mayer-Schonberger , nikasogea hadi kwa miamba sana kina Eric Siegel ambaye huyu mwamba nimtaalam sana kwenye mtindo wake wa utambuzi na utabiri (predictive analytics hasa kwenye Kitabu chake kile cha (The Power to Predict Who Will Click, Buy, Lie, or Die ,humo nilikuwa napenda kujiongezea uwezo wa namna ya kutumia taarifa kwa wakati ujao ili niwe bora kiuongozi niliona , kinanifaa sana hasa kwa upande wa uongozi wa makampuni na mashirika makubwa ambayo uongozaji wake huwa hamuhitaji mazoea ,hivyo humo nikawa najikuta nanyonya mbinu za kutumia data ya zamani kutabiri tabia za watu binafsi na kiupekee nikili kilinisaidia sana .

Simply to say kule ni sebuleni kwa wakubwa ,yaliyonkule hatuna uwezo wa kuyamaliza .

Ahsante kwa kunikumbusha chimbo tata 🤣
 
Siyo lazima wote mmiliki bunduki,hata upinde na mshale unatosha.

Hujamsikia mkenya aliyemtungua GSU?😁😁
 
Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.

Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.

Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .

Nikaonyesha kuhamasika , nikasogea nao mbele kidogo.

Kwenye sehemu ya kujaza details nikaona nisijaze zangu nisije jikuta naishia mikononi mwa Mafwele ,nikaona wacha nijaze jina na kitambulisho cha kura cha Mjomba wangu ambaye ni marehemu (Mungu anisamehe na ampe pumziko jema huko aliko)

Utaratibu wao baada ya kujaza taarifa zako hupaswa kusubiri baada ya saa 1 hadi 72 ndiyo watakujibu.

Paliponiogopesha kabisa ni majibu yao.

Muhusika anatoa maelekezo kwa kuongea kabisa (ule uongeaji wa customer Care) japo wanaoption ya kuchagua lugha (sasa sijui AI au mtu halisi mimi hapo sijajua .

Ndani ya nadhani dakika 30-46 hivii nikakutana na majibu kuwa mwenye taarifa husika ameshafariki ,wakanitajia tarehe ya kifo pamoja na tarehe aliyozikwa sambamba na picture mbili za tukio la mazishi yake lakini mwishoni wakahitimisha kwa kusema .

Ikiwa bado ninauhitaji napaswa kujaza taarifa sahihi kisha wakanitakia wakati mwema .

Tangu siku hiyo nimekuwa na mashaka sana na wamiliki wa ile link japo hizo taarifa nimekuwa nikizisikia sana misibani kuwa nikweli hata wengine washakutana pia na hizo link.

Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?

Naomba kwa kupiga magoti ,ikiwa wajuba ndiyo washaingia ,dah! aisee tupo pabaya .

Ikiwa ni mtego wa Police ,naona kama inaweza ikafanikiwa sana kukamata wengi wenye uhitaji na hizo siraha .

Kwa hofu nikajitoa kabisa kwenye ile sijui lipage sijui ni website ambayo inajihusisha na uuzaji wa vitu mbalimbali tu kutoka China na kwingineko huko Duniani.
Mkuu, silaha za kimagendo hazinunui online. Naona internet imelemaza watu na wanadhani kila kitu unanunua online. Silaha za magendo zinanunuliwa kutokana na connection. Utakuwa wewe ni mwendawazimu kama utapatana na mtu online kutaka kununua silaha. BTW Hakuna kosa waandanamaji watakalofanya kama kununua silaha. Ununue ya nini wakati polisi wanazo? Ni hivi: maandamano ya juzi may be ni kwa sababu ilikuwa ni mara ya kwanza. ''Polisi'' (soma wauaji) walipoanza kutembea huku wanawinda watu kama swala, walitakiwa kugeuziwa kibao na wanyang'anywe silaha ili waandamanaji watumie kujitetea. Makundi ya vijana walikuwa wanalazwa chini na kupigwa risasi na kikundi kidogo cha askari eg 8. Hivi wangewekwa mtu kati na kundi la wananchi kama 100 si wanganyang'anywa silaha zote? Kanuni moja ya kupambana na mtu mwenye silaha kama bunduki au inasema: Ukimbie, charge mbio kuelekea alipo, na kupambana naye. (hii ni baada ya kumvizia na kuwa karibu naye)
 
Usikubali kufanya mawasiliano yoyote hapa nchini eti ya kununua silaha. Anayeuza silaha kwa nini atafute kitambulisho chako.

Utambue kuwa wauaji wanahangaika sana kujinasua na kesi zinazowanyemelea, wanatafuta kila namna kutafuta uthibiyisjo kuwa walikuwawanapambana na watu wenye silaha. Ukitumiwa message hizo, mjibu tu, kuwa wewe ni muuaji mpumbavu.
 
taarifa za kifo cha Mjomba wako, tarehe ya kuzikwa, na picha mbili maziko? walizitoa wapi? walijuaje, bila link au screen shot hiii ni chai
Kwani nikikuacha ukaendelee kuamini unachoamini kutakuwa na shida gani?
Mkuu unaonekana huijui miamba ya Black web wewe .

Kwa kukurudisha nyuma ,nimekwambia nilituma na kitambulisho cha kura cha muhusika .

Kwa kukuondoa kwenye kifungo cha mminyo wa kifikra , wale jamaa ni wenyeji kwenye Big data

Kunamwamba hapo juu ameielezea vizuri sana ,ukweli uko hivyo.
 
Mkuu, silaha za kimagendo hazinunui online. Naona internet imelemaza watu na wanadhani kila kitu unanunua online. Silaha za magendo zinanunuliwa kutokana na connection. Utakuwa wewe ni mwendawazimu kama utapatana na mtu online kutaka kununua silaha. BTW Hakuna kosa waandanamaji watakalofanya kama kununua silaha. Ununue ya nini wakati polisi wanazo? Ni hivi: maandamano ya juzi may be ni kwa sababu ilikuwa ni mara ya kwanza. ''Polisi'' (soma wauaji) walipoanza kutembea huku wanawinda watu kama swala, walitakiwa kugeuziwa kibao na wanyang'anywe silaha ili waandamanaji watumie kujitetea. Makundi ya vijana walikuwa wanalazwa chini na kupigwa risasi na kikundi kidogo cha askari eg 8. Hivi wangewekwa mtu kati na kundi la wananchi kama 100 si wanganyang'anywa silaha zote? Kanuni moja ya kupambana na mtu mwenye silaha kama bunduki au inasema: Ukimbie, charge mbio kuelekea alipo, na kupambana naye. (hii ni baada ya kumvizia na kuwa karibu naye)
Mkuu umeeleza kwa utulivu sana , nadhani hilo kosa halitarudiwa na naomba ile game irudiwe ,to be honest ninamzuka nayo sana ,nimepoteza madogo wawili walikuwa kichwa sana mwaka wa pili so eish noo ,moyoni mwangu najihisi ninadeni tar 09122025 tukutane kitaa .
 
Kwani nikikuacha ukaendelee kuamini unachoamini kutakuwa na shida gani?
Mkuu unaonekana huijui miamba ya Black web wewe .

Kwa kukurudisha nyuma ,nimekwambia nilituma na kitambulisho cha kura cha muhusika .

Kwa kukuondoa kwenye kifungo cha mminyo wa kifikra , wale jamaa ni wenyeji kwenye Big data

Kunamwamba hapo juu ameielezea vizuri sana ,ukweli uko hivyo.
hadi picha za maziko zipo kwenye database ya serikali! acha kutuleta wewe..
 
Nahisi pengine hutaki kuelewa na pengine unataka kubishana.

Anyway ngoja nikusaidie iko hivi .

Taarifa au picture za mtu yeyote ambaye alishawahi kujisajiri kwenye system iwe Bank Police na hata kwenye mitandao ya kijamii kwa watu wa big data vyote vipo mikononi mwao ,hii nikusema kwamba watu wa black web kufanikiwa kuzipata zile picture nikitu kidogo sana muhimu iwe ziliwahi kutumwa tu mitandaoni hata na watu usiyowajua wao watakujua.
 
Tangu tarehe 02 November 2025 nimeanza kukutana na link za matangazo ya siraha.

Bei zao nikuanzia laki moja hadi laki nane na elfu sitini za kitanzania.

Mwanzo nilidhani watakuwa ni matapeli ,nilitamani kuwapuuza lakini akili ikaniambia hebu sogea nao mbele kidogo uujue ukweli .

Nikaonyesha kuhamasika , nikasogea nao mbele kidogo.

Kwenye sehemu ya kujaza details nikaona nisijaze zangu nisije jikuta naishia mikononi mwa Mafwele ,nikaona wacha nijaze jina na kitambulisho cha kura cha Mjomba wangu ambaye ni marehemu (Mungu anisamehe na ampe pumziko jema huko aliko)

Utaratibu wao baada ya kujaza taarifa zako hupaswa kusubiri baada ya saa 1 hadi 72 ndiyo watakujibu.

Paliponiogopesha kabisa ni majibu yao.

Muhusika anatoa maelekezo kwa kuongea kabisa (ule uongeaji wa customer Care) japo wanaoption ya kuchagua lugha (sasa sijui AI au mtu halisi mimi hapo sijajua .

Ndani ya nadhani dakika 30-46 hivii nikakutana na majibu kuwa mwenye taarifa husika ameshafariki ,wakanitajia tarehe ya kifo pamoja na tarehe aliyozikwa sambamba na picture mbili za tukio la mazishi yake lakini mwishoni wakahitimisha kwa kusema .

Ikiwa bado ninauhitaji napaswa kujaza taarifa sahihi kisha wakanitakia wakati mwema .

Tangu siku hiyo nimekuwa na mashaka sana na wamiliki wa ile link japo hizo taarifa nimekuwa nikizisikia sana misibani kuwa nikweli hata wengine washakutana pia na hizo link.

Ni mtego wa police kwenye kutaka kuwakamata wanaohitaji siraha au nikweli miamba ndiyo ishachungulia fursa ?

Naomba kwa kupiga magoti ,ikiwa wajuba ndiyo washaingia ,dah! aisee tupo pabaya .

Ikiwa ni mtego wa Police ,naona kama inaweza ikafanikiwa sana kukamata wengi wenye uhitaji na hizo siraha .

Kwa hofu nikajitoa kabisa kwenye ile sijui lipage sijui ni website ambayo inajihusisha na uuzaji wa vitu mbalimbali tu kutoka China na kwingineko huko Duniani.
Kumiliki silaha sio kosa kosa ni unamilikije?
 
J
Mkuu nawewe unaonekana kumbe ni mtu wa gizani pia (Black web ) of course huko nimeishi ishi kiaina na kunanyakati nilikuwa siwezi maliza siku kama sijabahatika kugusa makaratasi yenye maandishi ya waandishi nguli wa Big data kama Davenport, Marr, na Siegel kimsingi hii miamba imenisaidia sana kunisafisha vumbi kwenye eneo la kibiashara ngumu na nyepesi pamoja na siasa zakihuni huku miamba kama Mayer-Schonberger na Cukier, Cathy O'Neil ,Bernard Marr na Phil Simon .
kwa upande wa jamii na maadili (ustaarabu kwa ujumla) siunajua tena biashara ngumu hupenda sana kujificha kwenye muonekano na matendo ya kistaarabu 🤣🤣

Mwanzo nilivutiwaga sana na Marr kwa utaalam wake wa kiuandishi wa lugha rahisi unaobeba ujumbe mzito unaomfanya mtu yeyote kuelewa bila kutumia gharama kubwa

Nikawasomaga sana kina Kenneth Cukier na Viktor Mayer-Schonberger , nikasogea hadi kwa miamba sana kina Eric Siegel ambaye huyu mwamba nimtaalam sana kwenye mtindo wake wa utambuzi na utabiri (predictive analytics hasa kwenye Kitabu chake kile cha (The Power to Predict Who Will Click, Buy, Lie, or Die ,humo nilikuwa napenda kujiongezea uwezo wa namna ya kutumia taarifa kwa wakati ujao ili niwe bora kiuongozi niliona , kinanifaa sana hasa kwa upande wa uongozi wa makampuni na mashirika makubwa ambayo uongozaji wake huwa hamuhitaji mazoea ,hivyo humo nikawa najikuta nanyonya mbinu za kutumia data ya zamani kutabiri tabia za watu binafsi na kiupekee nikili kilinisaidia sana .

Simply to say kule ni sebuleni kwa wakubwa ,yaliyonkule hatuna uwezo wa kuyamaliza .

Ahsante kwa kunikumbusha chimbo tata 🤣
Hii comment yako ndiyo imeacha fingerprint zako za wewe ni nani na kwa nini umeona hiko ulichokiona ambacho umekiandika kwenye huu Uzi.

Hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya hapa duniani. Tafsiri ya kile ulichokiandikia Uzi kuhusu uuzwaji wa silaha ni kuwa wewe unapenda "kumenya vitunguu" ndiyo maana umekutana na miwasho machoni.

If you're ready to bear the consequences, continue to peel an onion. If you're not ready acha kujaribu jaribu.
 
Uliposema walikutajia tarehe ya kufa na kuzikwa mjomba Yako pamoja na picha mbili za mazishi hapo hapo nikaishiwa pozi....

Kama mtandao huo unaweza kujua taarifa za mtu asiyewahi kutumia huo mtandao basi hakuna kisichowezekana kukujua hata wewe uliyejaza hizo taarifa za mjomba yako
 
Back
Top Bottom