Ungetumia muda tu kunipa logic ningekuelewa zaidi . Otherwise huko black web kama ni rahisi kuunganisha unganisha vimatukio tu basi CIA na FBI wasingetumia miaka kumtafuta Osama; au mashirika ya ujasusi na uchunguzi yasingetumia miaka kutafuta top wanted fugitive duniani. Bro punguza sigara
🤣🤣Dah! Ila mkuu unavimaswali chokonozi , anyway
I think u h've a fundamental point that should not b overlooked.
In reality, technology iz like a living entity, yeah... it is born and goes through various stages of growth like you and I.
We can agree that ,our world has come a long way, having passed through many phases to reach its current state hili halina ubishi maana mifano iko mikononi mwetu .
Anyway
U'r question about ze delayed emergence of specific technologies ,kwa nionavyo mimi has a three part answer .
1. The immaturity of the technology at that time , Dunia ya technology ya wakati ule 1990-2000 huko imetofautiana sana na ya 2005-2025+ tunategemea kasi yake inaweza kufanana? Mfano mwepesi tuangalie namna changamoto zetu za uharifu zinavyotatuliwa kwa sasa na miaka ile zinawiana?
2. The competitive struggle between rival technologies , hapa ni aleneo jingine ambalo linatusaidia kujua matokeo ya vita hutegea na weredi wa team pinzani , ikitokea team pinzani ikawa na weredi wakuzidi team nyingine matokeo yanaweza kuwa magumu zaidi ,mfano mmoja ambao siyo rafiki sana tufanyie kwa Balozi Polepole,unadhani kama angelikuwa na team inayomsaidia kwenye vita yake aliyoianzisha na serikali unadhani serikali ingeliweza kuja kufanikiwa mpango wake wakumdaka kiwepesi namna ile ? Lakini kwasababu upande mmoja yawezekana ulikuwa dhaifu hivyo ikaufanya upande mwingine kukamilisha majukumu yake kwa wepesi ,lakini ingelikuwa kinyume chake pengine tungeliweza kuona matokeo ni tofauti sana ,so kuchelewa kwa matokeo wakati mwingine husababishwa na sababu mbalimbali .
3. And finally, the actual nature of the conflicts that were occurring.
We should not accept every event publicized by the media where Team A is fighting to team B at face value. No. Some are merely part of a strategy to exploit resources and misuse our time ,wengine ni wahuni tu ,kwa nje wanajitengeneza kwa sura ya maadui huku kiuhalisia wanalengo lao binafsi (mfano japo wakifala kidogo) angalia siasa za upinzani za kuanzia mwaka 1992 .
Angalia namna CCM na vyama vingine kama kwa wakati ule NCCR MAGEUZI chini ya aliyekuwa mwamba kabisa Mzee wa Kiraracha (Mrema)
Watu waliamini kwa 100% kuwa jamaa alikuwa ni mpinzani kindakindaki ,wapo waliyowahi kufa ,kuumizwa na hata kupoteza kazi lakini inapofika mahali Uchaguzi umeisha huku watu wakiwa na asilimia zote kuwa ameshinda na wapo tayari kumpambania achukue dola lakini mwishoni aliishia kuzimwa tena kistaarabu tu, akatulia na maisha yakaendelea , nadhani umeona sasa baada ya ziela Sanaa za maigizo Keisha tunauona music wake 🤣🤣 zile siasa zilinipa somo do not simply adopt the enemy.
Create u'r own enemy only if you find it absolutely necessary for you to have one otherwise not kama Kikwete alivyowahi kusema nyakati fulani.
Nini nataka kusema ,hatupaswi kupachukulia Black web kwa sura nyepesi nyepesi kwa sababu nyepesi nyepesi.
Kwangu mimi napachukulia kule kama jikoni (Kule ndiyo chimbuko la mengi tunayoyaona hadharani)
Karibu mambo mengi sana yakifala na yamaana maana huanzia kule ,kimsingi black web ni chaka kubwa lisilofaa kuchukuliwa poa kwa namna yoyote .
Kupitia kule ndiyo Dunia inafanikiwa kulia au kutabasamu ,kwa anaebisha ajaribu kuingia kule kichwakichwa 🤣