Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

Polisi wa bongo hawawezi kuwa na akili za kufanya kitu kama hicho, hawa akina kaaya wa forensic? Akina Kingazi wa Rau juu?....hapana, labda wameajiri kampuni binafsi, lkn bado nakataa hilo wazo sioni wa kulileta kutoka pande zile. They are so . mechanical
 
Nakubaliana na hoja yako mkuu , jamaa wanadakili ndogo sana kwenye kudeal na issue zakiusalama kiasi kunabaadhi ya mambo huwa yanazalisha matokeo tofauti na matarajio kiasi cha kuzalisha maswali hivi faida ya haya moja mbili tatu ni ipi hasa , anyway wasije wakaona kama tumekosa heshima kwao ila No ,kwa level ya kitaifa tukubaliane tu kuwa bado tunachangamoto kwenye hilo eneo.
 
Mkuu serikali inaweza kulipa watu wenye akili mpunga wowote ule ili kuweka mtego
 
Sikueleza kuwa hakuwahi kutumia mitandao.

Nimeeleza nilitumia kitambulisho chake .

Hii inathibitisha kuwa yawezekana taarifa zake walizipata kupitia humo, simnajua tena pengine mifumo imeungana kama vile alivyowahi kueleza Balozi Polepole kuwa mifumo imeumgana 🤣🤣
 
Mleta mada kama uko vizuri kwenye kuseaech kwenye deep web search kitabu kinaitwa "Mujaheeden Manual"
 
Mkuu serikali inaweza kulipa watu mpunga wowote ule watu wenye akili ili kuweka mtego
Ikiwa hivyo ndivyo mbona inakwama kwenye mambo mengi na mwisho inaishia kufanya mambo yanayoipelekea ihaibike tu mbele ya macho ya watu wanaofikiri sawasawa.

Hiyo dhana niyakupumbazana tu pengine kama ipo nadhani watakuwa hawajaanza kuitumia .
 
Sasa huu ndio ushauri, nimeshasema mahali safari hii kabla ya kumpiga au kuchoma kituo polisi lazima aseme Silaha zao zinakaa wapi mkizishika ndio mnachoma vituo.

Kuhusu kununua Silaha online, yes you can but you can also be scammed, pia uwa watu kama FBI, CIA au law enforcement huweka website za uwongo ili kujua wanaotaka kufanya tukio fulani na wapi, but kuna uwezekano wa kupata silaha online.

Mfano issue ya Mange, it is most likely Wakina Samia walienda huko black market wakatafuta hitman, kumbe wanaongea na watu wa FBI so technically wakatoa siri zao.
 
Uwezo unao?
 
Sawa mkuu ,nakushukuru umeniongezea kitu Chief.
Hicho kitabu ni cha Taliban... Kama wewe ni mtaalamu na uko Serious jifunze vitu viwili.

1. Kuunda au kupata fuse ya grenade
2. Drone, hapa unaweza kuongea na wachina wakutengenezee ambayo inaweza kubeba mzigo kama chupa ya plastiki ya maji au kubeba chupa za energy drinks.
Hizo Chupa unaweza kuzibadili kubwa Grenades, pia kupitia hicho kitabu unaweza kujua nini na nini uchanganye kuunda grenade
 
Muda fulani nilienda kufuatilia taratibu za kupata silaha kwa njia halali kwa ajili ya ulinzi binafsi. Nikaambiwa majibu ya ajabu. Wakaniambia mchakato unaweza kuchukua muda mrefu sana, hata miaka 8 huko sijui. Nikasema daah!

Wale wauaji siyo tu walifanya mission yao bila kuvaa mask za kuficha sura zao lakini hawakuvaa hata bulletproof vests. Walikuwa pia wanashoot wakiwa wamesimama katikati ya barabara bila kinga yoyote. Walionyesha dharau kubwa sana.
 
Noted Chief although umeongea kwa code sana lakini umeeleweka to the maximum.

Much thanks dude 💪
 
Binafsi nimeenda hayo maduka rasmi nikaambiwa mchakato ni mrefu sana na unaweza kuchukua muda mrefu sana. Nilienda huko mwaka jana, muda mrefu kabla ya MO29. Nikadhani labda wanataka nijiongeze ili waharakishe mchakato au walitaka tu nisipate gobole langu.
 
Sasa wanapata faida gani kuuza hizo silaha kama mchakato ni mrefu? Au ni duka la serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…