Nimekutana na link za matangazo ya silaha. Je, ni mtego kwa raia au ndiyo washaingia?

Usiweke information zako, biashara ya silaha haiitaji, ni biashara kubwa sana duniani kuliko hata mafuta, kilichotokea bongo ni fursa na wameshajua,soon zitamwagika mitaani kama njugu, shetani Samia limetuingiza pabaya sana, itabidi tujilinde tuu hakuna namna
 
🤣🤣Dah! Ila mkuu unavimaswali chokonozi , anyway

I think u h've a fundamental point that should not b overlooked.

In reality, technology iz like a living entity, yeah... it is born and goes through various stages of growth like you and I.

We can agree that ,our world has come a long way, having passed through many phases to reach its current state hili halina ubishi maana mifano iko mikononi mwetu .

Anyway
U'r question about ze delayed emergence of specific technologies ,kwa nionavyo mimi has a three part answer .

1. The immaturity of the technology at that time , Dunia ya technology ya wakati ule 1990-2000 huko imetofautiana sana na ya 2005-2025+ tunategemea kasi yake inaweza kufanana? Mfano mwepesi tuangalie namna changamoto zetu za uharifu zinavyotatuliwa kwa sasa na miaka ile zinawiana?

2. The competitive struggle between rival technologies , hapa ni aleneo jingine ambalo linatusaidia kujua matokeo ya vita hutegea na weredi wa team pinzani , ikitokea team pinzani ikawa na weredi wakuzidi team nyingine matokeo yanaweza kuwa magumu zaidi ,mfano mmoja ambao siyo rafiki sana tufanyie kwa Balozi Polepole,unadhani kama angelikuwa na team inayomsaidia kwenye vita yake aliyoianzisha na serikali unadhani serikali ingeliweza kuja kufanikiwa mpango wake wakumdaka kiwepesi namna ile ? Lakini kwasababu upande mmoja yawezekana ulikuwa dhaifu hivyo ikaufanya upande mwingine kukamilisha majukumu yake kwa wepesi ,lakini ingelikuwa kinyume chake pengine tungeliweza kuona matokeo ni tofauti sana ,so kuchelewa kwa matokeo wakati mwingine husababishwa na sababu mbalimbali .

3. And finally, the actual nature of the conflicts that were occurring.

We should not accept every event publicized by the media where Team A is fighting to team B at face value. No. Some are merely part of a strategy to exploit resources and misuse our time ,wengine ni wahuni tu ,kwa nje wanajitengeneza kwa sura ya maadui huku kiuhalisia wanalengo lao binafsi (mfano japo wakifala kidogo) angalia siasa za upinzani za kuanzia mwaka 1992 .

Angalia namna CCM na vyama vingine kama kwa wakati ule NCCR MAGEUZI chini ya aliyekuwa mwamba kabisa Mzee wa Kiraracha (Mrema)

Watu waliamini kwa 100% kuwa jamaa alikuwa ni mpinzani kindakindaki ,wapo waliyowahi kufa ,kuumizwa na hata kupoteza kazi lakini inapofika mahali Uchaguzi umeisha huku watu wakiwa na asilimia zote kuwa ameshinda na wapo tayari kumpambania achukue dola lakini mwishoni aliishia kuzimwa tena kistaarabu tu, akatulia na maisha yakaendelea , nadhani umeona sasa baada ya ziela Sanaa za maigizo Keisha tunauona music wake 🤣🤣 zile siasa zilinipa somo do not simply adopt the enemy.

Create u'r own enemy only if you find it absolutely necessary for you to have one otherwise not kama Kikwete alivyowahi kusema nyakati fulani.

Nini nataka kusema ,hatupaswi kupachukulia Black web kwa sura nyepesi nyepesi kwa sababu nyepesi nyepesi.

Kwangu mimi napachukulia kule kama jikoni (Kule ndiyo chimbuko la mengi tunayoyaona hadharani)

Karibu mambo mengi sana yakifala na yamaana maana huanzia kule ,kimsingi black web ni chaka kubwa lisilofaa kuchukuliwa poa kwa namna yoyote .

Kupitia kule ndiyo Dunia inafanikiwa kulia au kutabasamu ,kwa anaebisha ajaribu kuingia kule kichwakichwa 🤣
 
Kwangu mimi napachukulia kule kama jikoni (Kule ndiyo chimbuko la mengi tunayoyaona hadharani)
You've defined yourself very succinctly in this detailed posting.
The only regret is that you seem to trivialize the very dire situation we are all faced with in Tanzania.
 
You've defined yourself very succinctly in this detailed posting.
The only regret is that you seem to trivialize the very dire situation we are all faced with in Tanzania.
The wisdom we use to cross a road guides us to look both ways ukimtazama upendo wangu kwa Taifa kwa sura nyepesi unaweza usiuone.

Brother ....
this is a shared space, a gathering of many, especially those we do not know each other,Therefore ze manner in which an idea is presented ought 2 b guided ba artistic technique, not the conventional.

To understand ma point just read ma words with tranquility, u'll discover zat what I presented waz just done 4 ze sake ov heightening awareness within our people and 4 ma nation at large manner.
 
Achana na hiyo mninu ya kupata silaha mkuu. Tushirikiane kutafuta mbinu mpya ya kupata silaha kwa ajili ya kujilinda Desemba 2.
 
Kwahiyo kaka kwa maelezo haya ,inabidi huyu jamaa tumdake atueleze kwanini anapenda kufuatilia habari za silaha Kuna Jambo anahitaji kufanya hapa nchini ?
 
Kwahiyo kaka kwa maelezo haya ,inabidi huyu jamaa tumdake atueleze kwanini anapenda kufuatilia habari za silaha Kuna Jambo anahitaji kufanya hapa nchini ?
Na kwa jinsi mitandao ya simu ya bongo ilivyokuwa inapelekeshwa na CCM na kuweza kuambiwa idukue simu za watu, Wanaweza tu kuambiwa, weka alert ya kila watuamiaji wenu, tuone wale wanaogonga gonga tovuti za silaha....

NSA na CIA waliwafanyia hivi wananchi wa US ndio ikasanuka stori ya Snowden......
 
Dah nachoka Mimi mtanzania wa keko toroli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…