Nimekutana na mwanajamiiforum

Kama ni kweli weka picha[emoji86] [emoji86]
Tuone ili tuamini!!
 
Mshana Jr usisahau kumuitaa MKUU,maana ukiw JF lazima upate cheo cha heshim tofaut na kwingineko,respect JF!!!..
 
nini kiliwakutanisha mkuu?
maana sijawahi ona mtu yeyote akilog in Jf
Asee mi juzi nilikuwa zangu kirai nikawa nimepanda daladala pale ubumgo inayoelekea mbezi nikawa nimesimama!! Kwa mle ndani tulikuwa wengi!!kufika baruti kuna lijamaa likapanda!!haki ya mungu lilikuwa bonge balaa hadi nikamwonea uruma!!sasa kufika korogwe kuna abiria walishuka mimi nikapata siti nikakaa gule bonge akawa amesimama!mi nikajisikia huruma nikaona nimpe tuu ile siti!! Nikamwambia broo njoo ukae hapa!!asee akanishukuru sana akakaa!!laa haula akatoa cm aina ya sony kubwa hivi mi nikawa namcheki tuu anavyohemea juu juu ikaingia j.f mi kiroho kikaanza kudunda jujuu nijue ni nani!! Asee bahati mbaya alikuwa ameshalog in lakini akawa anacoment tuu!asee nilitamani nijue yule ndo nani ila bahati mbaya asee!!!!
Wewe broo uliepanda daladala baruti kuelekea mbezi nikakupa siti pale korogwe juzi j.pili jioni mimi ndo wa stendi niliekupisha ukakaa!!
Ushauri wangu kwako!!! Mkuu kama na wewe uko humu nakushauri upunguze mwili huo kijana bado taifa tunakuhitaji!!!
 
mi nimekutana na kula nao bata wengi tuu.............bila kumsahau kichaa wangu bujibuji........... hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…