Nimekutana na mwanajamiiforum

Natamani nikutane na mwanaJf lakini sifanikiwi sijui hawa watu wako wapi??
 
Mtaani nilifanikiwa kuwahamasisha wadau wangu kadhaa kupita humu. Wawili kati yao walikuwa wabishi balaa!! Nashangaa sasa hivi nimateja wa Jf.
 
Wapo mkuu... Omba ukutane na wastarabu mana wengine tulivyo wabaya ukituona waweza rudi kinyumenyume... Sasa ukutane na alieresi ni balaa teh
Niatafurahi sana siku hiyo mkuu, yaani sijawahi kumuona hata akifungua JF natamani nimuone ili nijue huwa tunajibizana na watu wa namna gani!!!
 
Niatafurahi sana siku hiyo mkuu, yaani sijawahi kumuona hata akifungua JF natamani nimuone ili nijue huwa tunajibizana na watu wa namna gani!!!
Utawaona sana mpaka uridhike... Ni kuvuta subira tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…