Nimekutana na mwanajamiiforum

ila kuna wakati unakuta mtu anaandika uzi humu halafu unakuta uzi huo huo kapost kwenye SNs kama fb. mara ya kwanza, mara ya pili na zaidi mwingine anaweka hadi namba ya simu. kwa hali hiyo ni rahisi kumtambua mwanajf kwa mtindo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…