wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Kuns vitu vizuri duniani hapa. Yaani kame mzee alitumia teknolojia kuona huo msambwanda unadhani sisi vijana unadhani tungekua na hali gani hapo.. Ndo mtu angeruka ghorofani avunjike miguu.Sasa upige kelele kwanini?
Ndo huwa unasikiliza huku unavuta hisia hivi au ππ π Ka ugonjwa kabaya sana hakooo.. Mie pia napenda sana, kusikia mtoto akitombwaaa alafu jamaa ampatie Yale makelele huwa natamani kucheka, ila huwa naishia kupia salutee kabisaaa Kwa mwambaaa
Wanawake wenu wa siku hizi wana mambo πWangekuwa wanawake wengine wa siku hz hawa,wasingefunga pazia afu wangeanza kuzurula chumban na chupi tu
Sasa muda wote wawe wamefunga mapazia, hata nje wasipaone jamani?Nimewaona sana kwenye mahostel ya kike yenye maghorofa yaan hawafungi mapazia
Hii picha huwa inanichekesha sanaUsiogope, kama waziri wa ulinzi hajui kutumia binoculars, sembuse mwamba hapo
View attachment 3522519
Nikijaga na stori za kweli manadhani chai, ila zile tea sasa ndiyo mnaziamini πHii ilikua chai ya jioni nadhani.
Hayuko mbali, nyumba zimepakana, mita 80 hazifiki toka barazani kwake hadi ndani kwangu, wala hahitaji darubini kutuona tukiwa kwetu, ndiyo nashangaa alikua anaangalia nini mpaka atumie binoculars.Yeye atumie darubini kukuona ila wewe utumie macho ya kawaida kumuona!
Bila kuchoka πKumbe anaiombaga
Sijui, leo nimemuona wakati nimetoka bafuniKwani anachunguliaga ukiwa unafanya nini
Aaah mammy yaani unakuwa kama Mwachiluwi unakaza fuvuπ!!We mzee hauko sawa, meseji gani ulikua unanitumia?
Nakuapia kama ukinikaribisha sitopiga chabo tenaaaa maana nafsi yangu itatulia so naamini ulinielewa vibaya.Ujumbe gani? zaidi ya kunikera na kuniogopesha.
Sasa hivi nawaza, mara zote ambazo sijafunga pazia la chumbani isije ikawa ulikua unanichungulia π€¦ββοΈ
Ungetombwer mpaka na vichaaNajaribu kuimajin Mimi ningepewa uke sijui ingekuwaje?
Hapana,ni doctor HAYA LAND HOV a.k.a manyaunyau anataka aone chochote ambacho atakiiba.Sio secretarybird huyo
Ananipa heka heka mwaka niumalize vibaya, nimeboreka kwa kweli.Mahi babu alikuwa anataka kupiga cha mkwezi kwa kukuuzoom πΉπΉ
Sina msambwanda wa kurusha mtu ghorofani πKuns vitu vizuri duniani hapa. Yaani kame mzee alitumia teknolojia kuona huo msambwanda unadhani sisi vijana unadhani tungekua na hali gani hapo.. Ndo mtu angeruka ghorofani avunjike miguu.
Duuh ukatemewa kabisa π©π₯΅πNakumbuka nilivyokua mdogo naenda kanisani nikapita kwenye kichochoro kuna dirisha nikawa nasikia vikelele nikachungulia ila sioni kitu ghafla nikashtukia makohozi usoni
Bila picha hoja yako haina nguvu.. Hebu tuoneshe huo msambwanda tuone kama kweli haumrushi mtu ghorofani.
Ukikaribishwa wapi bro π§ukinikaribisha sitopiga chabo
Mpwaaa βΊοΈUkikaribishwa wapi bro π§
Hebu kuwa na heshima basi
Hivi Yule father sio mtu wa system kweli maana nataka nije kumzinguaMpwaaa βΊοΈ
View attachment 3522653