Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
-
- #101
SIkos amani kwa ajil yake. Ila kwaajili ya hofu ya wife ndio nakosa amani japo haniambii..lakin kitu kizur ni kizur tuusasa kama mwanao mbona uzuri wake unakukosesha amani?
Trust me mkuu, this is soo real
Huyu mwanetu tayari kashavunja amri kiroho bado kimwili tu, ni swala la muda atakamilisha hii dhambi kwa kuunganisha energies zao!ushazini bhana fanya ukatubu
Sitafikia huko am sureHuyu mwanetu tayari kashavunja amri kiroho bado kimwili tu, ni swala la muda atakamilisha hii dhambi kwa kuunganisha energies zao!
Mkuu nimeaweka NB hapo juu, au uko frustrated?Kafanyie marekebisho ya mlango na matengenezo ya swichi ya umemeView attachment 2901473
HAkika kabisaa mkuu. Dunia ina mengi sana. Yapo mengi ambayo ni nje ya upeo wa macho yetu.Hii thread imenitafakarisha π€. Anyway Bwana asipoulinda mji yeye aulindaye akesha bure.
Ivan Stepanov usifike huko plsππHuyu mwanetu tayari kashavunja amri kiroho bado kimwili tu, ni swala la muda atakamilisha hii dhambi kwa kuunganisha energies zao!
Huku sifiki hata kidogo..nikizidiwa tu nakuja kwako ndukiii unikope hela nitalipa ! πIvan Stepanov usifike huko plsππ
ntakuhurumia ila sitakukopesha ππHuku sifiki hata kidogo..nikizidiwa tu nakuja kwako ndukiii unikope hela nitalipa ! π
Upo na mdogo wako wa kike hapo home? Waume sio wa kuamini hata kidogo!!Hii thread imenitafakarisha π€. Anyway Bwana asipoulinda mji yeye aulindaye akesha bure.
Kwakwel hili niko nalo makini sanaMke wako ana akili, we inaonekana ukibaki na huyo binti utashindwa kujizuia usababishe matatizo.
Kamwe usijiruhusu kubaki nyumbani na huyo binti.