Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hapana, sijamnunulia.
Ila Gari anayo tangu wikend ya wik ilopita anaitumia,
Nilipewa kilitime moja ya jamaa angu mmoja kasafiri anauguza nje kwenye matibabu alniachia niwe naiendesha endesha isikae idle.
Nikaona sio mbaya,
Nikamuachia mamaJ aitumie kwendea KAZIni kwake, sema sijamwambia Kama nmemnunulia yeye Wala sijamwambia nilikoitoa. Nmemuachia TU bila MAELEZO.
Kwenye Uzi wa mtoa mada,
Huwezi jua, huenda kaseka codes kuficha identify. Ila ngoja baadae leo leo ntafanya UCHUNGUZ.
yanii... Mungu atusaidie na ututetea tu wanawake tunapitia magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]!!!
kama Huyo shoo unampigaa mpaka sio poa ..angekua kwa mumewe walaaa angetombwa kwa afya tu sio vurugu kiasi hiko [emoji134][emoji134]!
Nilitaka kuongea neno ila naona umemaliza. Hasa nyumba!!!!!! Kagari na mengine anaweza kusahau ila nyumba, thubutu. Hata sie tulikuwa na michepuko ambayo ni under 25, tulienda sawa ila ikifika 25 inaanza kulazimisha ipate usafiri na kujengewa nyumba. Msichana ambaye anajitambua kama sex partner, ataomba hela ya Bolt na si kutaka anunuliwe gari. Ataomba hela ya kupanga chumba na sebule si kujengewa nyumba maana kujenga ni kuinvest bandugu.1: uko tiyari kuachia nyumba?
2: uko tiyari kuachia gari?
3: uko tiyari kuikosa hiyo kazi?
4;hako ka serengeti boy kana chochote au kamekupendea mali za jamaa?
Kama yote hayo uko tiyari muweke wazi ondoka bila chochote.
Ila nakuhakikishia hako ka serengeti baada ya miezi 2 tu katakuacha maana hutokuwa na chochote.
Kuanzia hapo utakuwa nagundu hata mme wa kukuoa hutompata.
Utaishia kulala na vitoto ambavyo unavizidi umri, na vitakuzalisha vikutekeleze.
Mimi nimekuelewa ila ujinga uloufanya ni kumruhusu akawekeza kwako wakati humpendi.
Dada kuna siku utapauka utakumbuka hii comment. Unakwenda kukosa kila kitu kisa hicho kivulana ulichokipata na wenda hakina kitu labda smartphone na laptop.
Dada duniani huwezi pata vyote, bora ukose upendo lakini unahudumiwa.
Nani kakudanganya hako kavulana katakupa raha kuliko huyo baba?
Ondoka ila jiandae kupauka, nimeona walofanya kama wewe wanatamani kurudisha siku nyuma.
Ukipenda jibu maswali hapo juu.
Ni story tofaut, kua na Aman dada angu.Naona unahangaika bure tu, kwa uandishi wako unaonekana bado ni mtoto. Hauwezi kuwa muhusika hata kidogo na wala hatumii Jamii forums. Mimi gari ninayo mwaka wa tatu sasa na mwaka jana ndio alinibadilishia kaIST na kuninunulia vanguard ninayotumia sasa. Gari la kwanza alininunulia baada ya miezi 6 ya mahusiano, Na yote yako kwa majina yangu kabisa.
Ndo Najaribu kumbadili akili yake kidg kidg awe na akili Kama wanawake wengine.
Tatiz Ni makuzi yake nadhani, anapenda Sana Maisha ya kuparty Sana na Ni mfujaji sana wa pesa.
Ana elimu yake nzur TU,
Ila akili yake utadhan mtu asiekwenda shule.
Kwanza nahs alivowaruwaru ndo Maana hawez KUPATA kazi ya Maana kwa fani aliyosomea.
Mwombe kufunga ndoa naye. Akikataa, ndio inakuwa sababu.
Wengi humu jf Ni wepesi sn wa kulaumu, Bila kujua hayanaga formula Wala guaranteeHata walio kwa waume zao wapo wanaopigwa hadi kuuawa. Haina guarantee.
Uko sahii,Basi usipate shida sana huyo sio mimi, tunatofautiana sana. Mimi sio mtu wa starehe halafu ni mchungu na pesa zangu hatari na ndio maana nimefanikiwa kujiwekeza vizuri tu.
Unawajua wanawake wewe? Hapo na akijua alimpa gari na kumjengea nyumba, kitawaka kwa bidada.Mtafute mke wake, mwambie kuwa unatembea na mume wake. Hapo mtake msitake mtaachana tu
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Amani ya moyo Ina thamani kuliko chochote stage uliyofikia na jamaa ni mbali Sana changamoto uliyoko nayo ni kubwa Sana
Fanya kitu kimoja ukweli humweka mtu huru jitoe mhanga mwambie ukweli jamaa usifiche Wala kudanganya chochote mwambie wewe ni mtoto wa kike unahitaji kua na Maisha na familia Kama ilivyo kwake hauko tayari kua mke mdogo kwake unahitaji kua na mwanaume wako muanzishe familia nae msiklize kwa makini sana wakati akikujibu na majibu yake tuletee huku tuendelee kukushauri atakachokujibu kitakupa mwanga wa nini Cha kufanya zaidi
N.b wakati utakapomueleza hili uwe umeshajitoa mhanga kukosa alivyoviwekeza kwako ikiwepo nyumba na gari kwa kazi sizani Kama ataeeza kukunyanganya Kama ni mwanaume anaejielewa hata hiyo nyumba na gari anaweza akakuachia tu wanaume tunatofautiana ishu kubwa hapa ni wewe kua mkweli jaribu hii njia then type mrejesho
Basi Kama ushajiridhisha, just go ahead my sister [emoji106]Ubahili sidhani, ananihudumia vizuri tu tena bila kuomba.
Nimuombe mume wa mtu ndoa? Hapana siwezi.
Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]
Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]
Hivyo vitu Ingekuwa ni mimi yani Ukizingua AMINI HAUTAVITUMIA ZAIDI YA MWEZI...!! Na hakuna atakaejua nini kilikupataa ila chako kitakuwa Kaburi tu... shwain kabisaaNaona unahangaika bure tu, kwa uandishi wako unaonekana bado ni mtoto. Hauwezi kuwa muhusika hata kidogo na wala hatumii Jamii forums. Mimi gari ninayo mwaka wa tatu sasa na mwaka jana ndio alinibadilishia kaIST na kuninunulia vanguard ninayotumia sasa. Gari la kwanza alininunulia baada ya miezi 6 ya mahusiano, Na yote yako kwa majina yangu kabisa.
Ila sometimes wanawake huwa mnajisahau sana una kazi nzuri,jamaa analipa kodi na mahitaji mengine nyumba aliyokujengea umepangisha na unapokea kodi.
Sasa kwa nini hujawekeza na wewe japo nyumba yako ambayo jamaa haijui,maana pesa yako haina majukumu ulipaswa kuielekeza kwenye vitu vyako vya maendeleo ambavyo vitakuja kukusaidia siku jamaa ikitokea amebeba vya kwake.