Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Hapana, sijamnunulia.
Ila Gari anayo tangu wikend ya wik ilopita anaitumia,
Nilipewa kilitime moja ya jamaa angu mmoja kasafiri anauguza nje kwenye matibabu alniachia niwe naiendesha endesha isikae idle.

Nikaona sio mbaya,
Nikamuachia mamaJ aitumie kwendea KAZIni kwake, sema sijamwambia Kama nmemnunulia yeye Wala sijamwambia nilikoitoa. Nmemuachia TU bila MAELEZO.

Kwenye Uzi wa mtoa mada,
Huwezi jua, huenda kaseka codes kuficha identify. Ila ngoja baadae leo leo ntafanya UCHUNGUZ.

Naona unahangaika bure tu, kwa uandishi wako unaonekana bado ni mtoto. Hauwezi kuwa muhusika hata kidogo na wala hatumii Jamii forums. Mimi gari ninayo mwaka wa tatu sasa na mwaka jana ndio alinibadilishia kaIST na kuninunulia vanguard ninayotumia sasa. Gari la kwanza alininunulia baada ya miezi 6 ya mahusiano, Na yote yako kwa majina yangu kabisa.
 
yanii... Mungu atusaidie na ututetea tu wanawake tunapitia magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]!!!
kama Huyo shoo unampigaa mpaka sio poa ..angekua kwa mumewe walaaa angetombwa kwa afya tu sio vurugu kiasi hiko [emoji134][emoji134]!

Hata walio kwa waume zao wapo wanaopigwa hadi kuuawa. Haina guarantee.
 
1: uko tiyari kuachia nyumba?
2: uko tiyari kuachia gari?
3: uko tiyari kuikosa hiyo kazi?
4;hako ka serengeti boy kana chochote au kamekupendea mali za jamaa?

Kama yote hayo uko tiyari muweke wazi ondoka bila chochote.

Ila nakuhakikishia hako ka serengeti baada ya miezi 2 tu katakuacha maana hutokuwa na chochote.

Kuanzia hapo utakuwa nagundu hata mme wa kukuoa hutompata.

Utaishia kulala na vitoto ambavyo unavizidi umri, na vitakuzalisha vikutekeleze.

Mimi nimekuelewa ila ujinga uloufanya ni kumruhusu akawekeza kwako wakati humpendi.

Dada kuna siku utapauka utakumbuka hii comment. Unakwenda kukosa kila kitu kisa hicho kivulana ulichokipata na wenda hakina kitu labda smartphone na laptop.

Dada duniani huwezi pata vyote, bora ukose upendo lakini unahudumiwa.

Nani kakudanganya hako kavulana katakupa raha kuliko huyo baba?

Ondoka ila jiandae kupauka, nimeona walofanya kama wewe wanatamani kurudisha siku nyuma.

Ukipenda jibu maswali hapo juu.
Nilitaka kuongea neno ila naona umemaliza. Hasa nyumba!!!!!! Kagari na mengine anaweza kusahau ila nyumba, thubutu. Hata sie tulikuwa na michepuko ambayo ni under 25, tulienda sawa ila ikifika 25 inaanza kulazimisha ipate usafiri na kujengewa nyumba. Msichana ambaye anajitambua kama sex partner, ataomba hela ya Bolt na si kutaka anunuliwe gari. Ataomba hela ya kupanga chumba na sebule si kujengewa nyumba maana kujenga ni kuinvest bandugu.
 
Naona unahangaika bure tu, kwa uandishi wako unaonekana bado ni mtoto. Hauwezi kuwa muhusika hata kidogo na wala hatumii Jamii forums. Mimi gari ninayo mwaka wa tatu sasa na mwaka jana ndio alinibadilishia kaIST na kuninunulia vanguard ninayotumia sasa. Gari la kwanza alininunulia baada ya miezi 6 ya mahusiano, Na yote yako kwa majina yangu kabisa.
Ni story tofaut, kua na Aman dada angu.
Haina haja kuongea mengi,Nishajiridhisha tayar [emoji106]
 
Ndo Najaribu kumbadili akili yake kidg kidg awe na akili Kama wanawake wengine.

Tatiz Ni makuzi yake nadhani, anapenda Sana Maisha ya kuparty Sana na Ni mfujaji sana wa pesa.

Ana elimu yake nzur TU,
Ila akili yake utadhan mtu asiekwenda shule.

Kwanza nahs alivowaruwaru ndo Maana hawez KUPATA kazi ya Maana kwa fani aliyosomea.

Basi usipate shida sana huyo sio mimi, tunatofautiana sana. Mimi sio mtu wa starehe halafu ni mchungu na pesa zangu hatari na ndio maana nimefanikiwa kujiwekeza vizuri tu.
 
Kama kaahidi akigundua una mtu atakukata shingo basi jua ukimuacha atakuchinja na kukukatakata akunywee supu

Roho mbaya umemfundisha mwenyewe.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Basi usipate shida sana huyo sio mimi, tunatofautiana sana. Mimi sio mtu wa starehe halafu ni mchungu na pesa zangu hatari na ndio maana nimefanikiwa kujiwekeza vizuri tu.
Uko sahii,
Mimi niliongelea kwa scenario ya mwanamke wangu, sio wewe.

Sema wengi walitafsir kwmb huenda wewe Ndo yule mwanamke wangu.

Hongera Sana kwa kujitambua na kujiwekeza, Una akili sana[emoji106]
 
Amani ya moyo Ina thamani kuliko chochote stage uliyofikia na jamaa ni mbali Sana changamoto uliyoko nayo ni kubwa Sana

Fanya kitu kimoja ukweli humweka mtu huru jitoe mhanga mwambie ukweli jamaa usifiche Wala kudanganya chochote mwambie wewe ni mtoto wa kike unahitaji kua na Maisha na familia Kama ilivyo kwake hauko tayari kua mke mdogo kwake unahitaji kua na mwanaume wako muanzishe familia nae msiklize kwa makini sana wakati akikujibu na majibu yake tuletee huku tuendelee kukushauri atakachokujibu kitakupa mwanga wa nini Cha kufanya zaidi

N.b wakati utakapomueleza hili uwe umeshajitoa mhanga kukosa alivyoviwekeza kwako ikiwepo nyumba na gari kwa kazi sizani Kama ataeeza kukunyanganya Kama ni mwanaume anaejielewa hata hiyo nyumba na gari anaweza akakuachia tu wanaume tunatofautiana ishu kubwa hapa ni wewe kua mkweli jaribu hii njia then type mrejesho

Asante.
 
Na yeye hawezi kukuoa. Na hiyo ndiyo itakuwa sababu ya wewe kuachana naye. Lakini kwa nini ukajiingiza kwenye mahusiano na mume wa mtu kama kweli "hapana hauwezi"?
Nimuombe mume wa mtu ndoa? Hapana siwezi.
 
Nilishawahi kujipata katika hiyo hali na mme wa mtu yeye alinipea kazi kwenye kampuni yake, Sema nyumba ni kama tulijenga wote maana baadhi ya vitu nilikua najiongeza nanua mwenyewe nikabahatika kuandika jina langu. Jamaa lilikua king'ang'anizi kama huyo wako.Kiukweli ni story ndefu sana ya kuogofyia ila jua tu nilifanikiwa kuachana naye bila hata kurudisha nyumba na vinginevyo njoo pm nikupe mbinu mwanamke mwenzangu.Dawa ya moto ni motroooo[emoji126]

Nakuja pm mama.
 
Sasa mimi ni tofauti, kwenye nyumba hakuna hata senti mia yangu niliyowekeza. Mie nilistukia tu napewa kama zawadi ya birthday. Kuna maswali alikuwa akiniuliza tukiwa pamoja kumbe ndio alikuwa anakusanya taarifa za aina ya nyumba ninayopenda na ikajengwa hivyo hivyo na ikawa furnished. Alopanga aliingia na nguo zake tu. Hivyo sijachangia chochote.
 
Naona unahangaika bure tu, kwa uandishi wako unaonekana bado ni mtoto. Hauwezi kuwa muhusika hata kidogo na wala hatumii Jamii forums. Mimi gari ninayo mwaka wa tatu sasa na mwaka jana ndio alinibadilishia kaIST na kuninunulia vanguard ninayotumia sasa. Gari la kwanza alininunulia baada ya miezi 6 ya mahusiano, Na yote yako kwa majina yangu kabisa.
Hivyo vitu Ingekuwa ni mimi yani Ukizingua AMINI HAUTAVITUMIA ZAIDI YA MWEZI...!! Na hakuna atakaejua nini kilikupataa ila chako kitakuwa Kaburi tu... shwain kabisaa
 
Ila sometimes wanawake huwa mnajisahau sana una kazi nzuri,jamaa analipa kodi na mahitaji mengine nyumba aliyokujengea umepangisha na unapokea kodi.

Sasa kwa nini hujawekeza na wewe japo nyumba yako ambayo jamaa haijui,maana pesa yako haina majukumu ulipaswa kuielekeza kwenye vitu vyako vya maendeleo ambavyo vitakuja kukusaidia siku jamaa ikitokea amebeba vya kwake.

Sijaweka tu details zingine nimeweka za upande wake tu ili kuonyesha uzito wa hili jambo ila nimejiwekeza vya kutosha tu na bank ninayo akiba nzuri tu. Ndio maana niko tayari kumrudishia hivyo vitu vyake.
 
Back
Top Bottom