na makosa mengi tunafanya wakati wa ujana. tamaa za mali zimemponza mremboatazeeka ataachwa hana kitu, ujana maji ya moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na makosa mengi tunafanya wakati wa ujana. tamaa za mali zimemponza mremboatazeeka ataachwa hana kitu, ujana maji ya moto
Kwanza tubu, alafu mtafute mkewe, muombe muonane, mueleze jinsi ambavyo unajutia matendo yako, alafu mkabidhi nyumba, gari ulilopewa na mume wake. Najua ni ngumu kuachilia mali lakini shhukuru bado una kazi, jiwekeze kidogo kidogo utafanikiwa. Ila ukiendelea kupenda vya bure utaliwa, utazalishwa, ukianza kuzeeka mwenzio anakwambia nimeokoka tena anatoa ushuhuda kanisani kuhusu wewe , mtoto anampeleka boarding school na mapenzi unakosa unabaki kuwa sugarmamaWapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
mkuu ukimwambia hivi utamfanya mdada aanze mbinu za kumuua jamaa ili atoke kwenye kifungoKwanza nikwambie Hapo huwezi kutoka kwenye kifungo icho ulichokuwepo labda aamue mwenyew kukupotezea au Mungu amchukue, Si rahisi yeye kukuelewa kwa chchte kwa sababu ashawekeza vitu vingi kwako Ila all in all ulisema alikuonesha bastola kimasihara hio ilikua masihara Ila alifanya vile very serious so Kua makini Kama unataka umuache anza na kurejesha vitu vyake
Acha kuact kijinga , kwanza just imagine wewe ndo ungekuwa huyo jamaa, umejitoa mwili na roho kumfanya mpenz wako awe na furaha and comfortable then after lots of hustles anakuja na kauli Sijui za Ku-suffocate !!! My dear yakikuta ya kukukuta ujue mchawi ni wewe mwenyewe!Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Hahahahahawee bwana warembo wa mujini walishazoea life zuri unadhani kuviachia hivyo vitu inakuwa rahisi kihivyo bwana. cha msingi bidada yeye aendelee kumpa jamaa mbusus basi na kumwambia ukweli kuwa mie kwa sasa siwezi kuzaa na mume wa mtuile kutombaaa wee tombaaa tuu style zote utaakazo
Tafuta namba ya mkewe halafu tafuta simu ya bodaboda mtumie mkewe msg ujishitakie kuwa mumewe anatoka na wewe.Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Huyu mtu tangu nafahamiana nae ameyabadilisha sana maisha yangu maana ana mchango mkubwa sana. Alinisaidia kupata kazi nzuri na kuachana na kakazi kangu nilikokuwa nafanya, alinihamisha na kunipangishia sehemu nzuri zaidi. Baadae alininunulia gari nami nikawa natembea nimekaa, pia amenijengea nyumba iliyo kwa jina langu ila kwakuwa ipo nje ya mji nimeipangisha nakula kodi ila bado analipia kodi hapa ninapoishi.
Mahusiano yalipoanza sikufikiria hata yangechukua miezi 6, ila sasa ni miaka mitatu+. Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo. Sasa huwa najiuliza huyu ni mume wa mtu, anatarajia kweli niwe na yeye tu ili iweje?
Sasa nimechoka jamani, natamani niwe na mpenzi wangu na sio mume wa mtu. Kuna huyu kijana nimeanza nae mahusiano sasa ni miezi 5, kusema kweli nampenda na ninaona kabisa nae ananipenda. Haya ndio aina ya mahusiano niyatakayo. Nimekuwa nikitafuta visingizio kuwa asije kwangu maana sio maadili ila ukweli ni kuwa naogopa mlipa kodi akijua atanitoa roho.
Huyu mume wa mtu nishamtafutia visingizio ili tuachane ila inashindikana. Natamani yeye ndio aanze ili asije kuwa na kinyongo. Ila kuna wakati najipa moyo kuwa nimwambie tu tuachane lakini nikikumbuka aliwahi kunikunja nusura anipige alipokuta msg asizozielewa kwenye simu nahisi kutetemeka. Aliwahi kunionyesha silaha anayomiliki, nilipomuuliza ni ya nini akasema hata mimi nikimletea ujinga ananifyatua. Japo ulikuwa utani ila niliogopa kusema kweli.
Balaa zaidi recently ameanza kung’ang’ania nimzalie. Nimekuwa nikijifanya mimba hazishiki ila kusema kweli natumia dawa zisishike maana siko tayari kuzaa nae. Kwanza nahisi kama suffocation maana ananibana sana. Kwangu anakuja tu muda wowote akijisikia, na ole wangu asinikute nyumbani ni tatizo kubwa. Kila ninachofanya anahitaji apate taarifa kwanza, yaani kama mkewe vile jamani.
Nimejaribu kuelezea haya ili angalau muelewe ni kwanini nahitaji msaada wa mawazo yenu ili nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia. Nipeni ushauri naachanaje na huyu mwanaume bila kuleta madhara kwangu.
Daah🤣🤣Sijui nani atatuletea mrejesho juu ya kuchomwa na gunia mbili za mkaa ama kupigwa risasi ya ubongo maana wakati huo mleta mada atakuwa marehemu.
Anyways tukiona kimya kirefu kutoka kwako tujue tu ndo basi tena.
Yaani kila siku unasikia mauaji mapya kuhisiana na mapenzi halafu nawewe unaleta mzaha.
Kwanza akigundua tu una huo mchepuko anaweza akakutwanga risasi papo hapo jiandae.
andika single mother kwenye search alafu utaona izo topics zakeHapana, mimi sio mshiriki sana wa hili jukwaa mpaka mada iwe sensitive kidogo ndio naisoma. Labda uniambie kuhusu singo mazaz as you pitched to me
Hamuwezi kubadilika hata siku Moja hkn Niko nadate na mke wa mtu Ni mpumbafu wa Hali ya juu mpk naona aibu mm kwa jins anavyo mfanyia mumewake Ni aibu wanawake wanao jielewa Sasa HV Ni 10 %ifike mahala wanawake nasisi tujikwamue TU kutoka kwa waume zawatu mwisho wa siku mwanaume atatubu na kubaki na familia yake tu amekufuuuuuuuuujjjaaa huku wewe umri ushasonga aargghhh!
Na wanaume nao vichomi tu baada apambane na mkewe anakimbilia wa vibinti mwisho ndio haya sasa!
anamtisha sio!!!! vp hayo magari na majumba aliyoinvest kwake? kibinadamu tuu na hata kwa hali ya kawaida unazani hata kama ni wewe ungemuacha tuu aende na mali zako kwa mwanaume mwingine?Hawezi kufa...
Anamtishia hivyo sababu anajua hajaolewa ila akiolewa hana mamlaka nae tena...