Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Sio hela tu hadi nguvu za kiume zinamwagikaAyeeee jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee una hela au unatoka kusumbua dada wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hela tu hadi nguvu za kiume zinamwagikaAyeeee jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee una hela au unatoka kusumbua dada wa watu
Rudisha nyumba, gari, na uache kulipiwa Kodi. Dakika mbili tu unamuacha na anaridhika Kabsa. Chaguo ni lakoHabari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even proud with what i did so if you judge me i’ll understand.
Huyu mtu tangu nafahamiana nae ameyabadilisha sana maisha yangu maana ana mchango mkubwa sana. Alinisaidia kupata kazi nzuri na kuachana na kakazi kangu nilikokuwa nafanya, alinihamisha na kunipangishia sehemu nzuri zaidi. Baadae alininunulia gari nami nikawa natembea nimekaa, pia amenijengea nyumba iliyo kwa jina langu ila kwakuwa ipo nje ya mji nimeipangisha nakula kodi ila bado analipia kodi hapa ninapoishi.
Mahusiano yalipoanza sikufikiria hata yangechukua miezi 6, ila sasa ni miaka mitatu+. Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo. Sasa huwa najiuliza huyu ni mume wa mtu, anatarajia kweli niwe na yeye tu ili iweje?
Sasa nimechoka jamani, natamani niwe na mpenzi wangu na sio mume wa mtu. Kuna huyu kijana nimeanza nae mahusiano sasa ni miezi 5, kusema kweli nampenda na ninaona kabisa nae ananipenda. Haya ndio aina ya mahusiano niyatakayo. Nimekuwa nikitafuta visingizio kuwa asije kwangu maana sio maadili ila ukweli ni kuwa naogopa mlipa kodi akijua atanitoa roho.
Huyu mume wa mtu nishamtafutia visingizio ili tuachane ila inashindikana. Natamani yeye ndio aanze ili asije kuwa na kinyongo. Ila kuna wakati najipa moyo kuwa nimwambie tu tuachane lakini nikikumbuka aliwahi kunikunja nusura anipige alipokuta msg asizozielewa kwenye simu nahisi kutetemeka. Aliwahi kunionyesha silaha anayomiliki, nilipomuuliza ni ya nini akasema hata mimi nikimletea ujinga ananifyatua. Japo ulikuwa utani ila niliogopa kusema kweli.
Balaa zaidi recently ameanza kung’ang’ania nimzalie. Nimekuwa nikijifanya mimba hazishiki ila kusema kweli natumia dawa zisishike maana siko tayari kuzaa nae. Kwanza nahisi kama suffocation maana ananibana sana. Kwangu anakuja tu muda wowote akijisikia, na ole wangu asinikute nyumbani ni tatizo kubwa. Kila ninachofanya anahitaji apate taarifa kwanza, yaani kama mkewe vile jamani.
Nimejaribu kuelezea haya ili angalau muelewe ni kwanini nahitaji msaada wa mawazo yenu ili nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia. Nipeni ushauri naachanaje na huyu mwanaume bila kuleta madhara kwangu.
Mwana kulitafuta, Mwana kulipata. Hiyo silaha itakuacha salama kweli?. Mwambie kijana wa watu usije mletea dhahama bure kwa ulafi wako.Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.

OK simple and clear ...mrudishie gari, nyumba yake. Then mwambie ts over akileta shida mwambie utampa mkewe taarifaWapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Naona ashakua fursa[emoji1787][emoji1787]You haven't messed a thing up lady.
Relaaaaax.
Hii ni taaluma ya mtu na watu wanalipia consultancy fee, SaaS tutatoaje tu ushauri bure bure jamani??
Jiongeze bhana PM za wana ziko wazi
Sasa kama unayaweza usisuburi uambiwe rudisha kama uanvyotaka kurudisha mapenzi.Hivyo vitu vyake sina shida navyo naweza virudisha hata leo.
Mpenzi wangu hana shida maana ni mhudumiaji mzuri tu pia. Sijawahi muomba pesa ila huwa ananipa bila kuomba. Ni mtu anajali sana na ndio maana nimesema ndio aina ya mahusiano nahitaji kwa sasa.
Hivi yule wa dar alifanywa aje1. Hukumuomba asiheshimu ndoa yake, hakuiheshimu akakutongoza...na wewe hukuiheshimu ukamkubali.
2. Hukumuomba akujengee nyumba, ni kiherehere chake, badala ya kujengea mkewe na watoto akaamua kutapanya
3. Hukumuomba akununulie gari, inawezekana mkewe hajawahi mnunulia ila ametapanya
4. Muite, ukiwa na ukinzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mwambie mahusiano yenu yamefika mwisho arudi kwa mkewe.
5. Hama anapokulipia kodi ujilipie mwenyewe
6. Kata RB
7. Tembea na ulinzi atakukata shingo kwelj huyo ohooooo
8. Muachage kutembea na waume za wenyewe.....matokeo yake mkishachuma ndio mnajiona mnahitaji wa kwenu peke yenu
Dada amishakuua tafadhali urud hata ukiwa mzimu kutupa mrejesho maana 100% unakufa
Kua na Mali Ni suala jingine, na moyo wa kuhudumia Ni suala jingine.
Kuna Watu wanamali Sana ila Ni mabahili Hadi kwenye afya zao wenyewe.
Muda always Ni mwamuz mzur[emoji4]
Yaani nyie wajinga mnaojifanya maslayqueen wa kuchuna hela za watu mnawaacha. Yaani nyie chombo cha moto kinawahusu. Pumbavu kabisa.
Rudisha hizo mali ndio uolewe
kabisa awe tayari kuanza sifuri nahuyo mwanaume mpya dadeki ataweezaaaa????
Yote haya umeanza kuyaona baadaya kuhongwa gari na nyumba !?
Okay okay I understand now why huwaga mnauwawa ,
Tell me you are joking lady
Ninyi wanawake huwa hamueleweki, hivi matukio ya watu kuuana kisa mapenzi unadhani ni ya kufikirika? ? Subiri wakumwage ubongo ndo utajua! Yaani umefanyiwa yote hayo eti unasema "...nipeni ushauri naachanaje na huyu mwanaume bila kuleta madhara kwangu" madhara yapo tena sana p#mbi wewe!Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.