Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Hakuna haja.

Kwani yeye ashakusimulia uhuni na ugangwe wake aloufanya nje ya macho yako?

Kwanza mshapima?

Ipo hivii, hisia za binadamu zimetofautiana.

Wapo wanaoweza kuhimili kusikia historia mbofu mbofu za mahusiano ya nyuma ya wapenzi wao na wengine hawawezi, huvunjika moyo na kupiga vibuti mazima.

Jitathimini hizo pupa zinazokusukuma kufanya kihere here na kimbele mbele, zizuie zaweza kukugharimu.
 
Mahusiano ni umalaya tu.
Usiwe na hofu muambie maana mmekutana kwenye umalaya. Huna Cha kuficha, Wala kutubu, Wala ku- confess. Siku akipata mahusiano (Malaya) mwingine, atakushiti tu. Your not safe yet
Mwache mwenzako ajiropokee ili moto umuwakie.

Hawara yake ashawahi kumuungamia ufuska wake?
 
Aliwahi kuniambia mambo yake baadhi aliyowahi kuyafanya, kupima tulishapima
Kutokana na ushauri wenu nimeona siyo vyema kumwambia.
 
Mhhh
Mhhhh kwamba unataka utoboe Siri kuwa na marinda huna au?????

Ukimwambia hii lazma akuache, mwanamke Gani unakubali kufumuliwa mpaka marinda aiseeee,

Mwache mwenyewe atakuja gundua badae baada ya kukuweka dog staili, na hapo mtakuwa tyari mpo kwenye ndoa kwahiyo ujanja atakuwa hana.

Wee kausha hivohivo.
 
😁😁umefika mbali sana mkuu, wala siyo hivyo kabisa
 
Ya kwake ya nyuma unayafahamu mbali na machache aliyokusimulia?
Mambo ya nyuma ya nini kama umesonga mbele we songa kugeukageuka nyuma utageuka nguzo ya chumvi cute
Alinisimulia machache wala siyo mambo mazuri kabisa ila mimi nilishayapotezea as long as amesema hafanyi tena, asante sitageuka nyuma wala kumwambia chochote cha nyuma.
 
Bora upige kimya ajue mkishakuwa na watoto watatu na kuendelea Mimi ni mwanaume nawajua wanaume wenzangu hawawezagi jivisha mabomu Kwa kujitoa mhanga kuoa demu mwenye historia chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…