Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Asante, nitafanya hivyo mkuu
 
Hapa unaomba ushauri wa jumlajumla wakati yale ya rejareja uliyoyafanya huko nyuma hujayaweka wazi! Tegemea mwisho mbaya sana huyo jamaa akijua huko mbeleni kulivyo.
 
Mwambie tuu. Ni vyema asikie kutoka kwako kuliko kwa watu wengine. Kama anakupenda kwa dhati haitaathiri mahusiano yenu. Kama hakupendi atakuacha. Ni bora iwe hivyo sasa kuliko baadae ambapo utakuwa tayari ume invest sana katika mahusiano yenu.

Amandla...
 
Hapa nachanganyikiwa kuna wengine wanasema ni heri ninyamaze naweza nikamwambia akashindwa kuvumilia
 
naomi kivuruge jina linasadifu kuwa hamna Pipe huijui na kuvuta mashisha kama yote.
Usijali hayo yashapita saivi ushakuwa mtu mzima kwaiyo usiogope ilikuwa foolish Age tu
 
Vipi kwani ukikuwa una act picha za x au mbona unajishtukia hivyo..kila mtu ana bad side yk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…