Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Umepiga kwenye mshono.Mhhh
Mhhhh kwamba unataka utoboe Siri kuwa na marinda huna au?????
Ukimwambia hii lazma akuache, mwanamke Gani unakubali kufumuliwa mpaka marinda aiseeee,
Mwache mwenyewe atakuja gundua badae baada ya kukuweka dog staili, na hapo mtakuwa tyari mpo kwenye ndoa kwahiyo ujanja atakuwa hana.
Wee kausha hivohivo.
Unachanyikiwa nini? Hamna namna ataacha kujua maana inaelekea ulikuwa maarufu. Ukinyamaza na akija kujua hasira zake zitakuwa zaidi maana atakuona muongo na mtu ambae humtakii mema. Atafikiria jinsi alivyokuwa anachorwa wakati yeye anaona amepata.Hapa nachanganyikiwa kuna wengine wanasema ni heri ninyamaze naweza nikamwambia akashindwa kuvumilia
Waulize mds😁😁hivi nifanyaje nibadili hili jina
Hata majibu yako ni ya kiutu uzima sasa.Amen na ikawe heri mkuu
Sema maisha uliyoishi kwa uhalisia ili upate ushauri utakao kufaa.Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.
Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.
Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Sawa japo nitasema mkuuSema maisha
Sema maisha uliyoishi kwa uhalisia ili upate ushauri utakao kufaa.
Kama jina kuna kivuruge jua pengine ni kivuruge kweli kweli.Wala mimi siyo kivuruge ni mpole sana hata ukiniangalia
Nyie wanadamu wa humu, mmeshajua kiasi tayari😳 mwambie tu au utuambie sisi wanadamu wa humu
Inasikitisha sana mkuu😢😢
Ahaa, sawaNyie wanadamu wa humu, mmeshajua kiasi tayari
Wala siyo hivyo mkuu, nielekeze jinsi ya kubadili hili jinaKama jina kuna kivuruge jua pengine ni kivuruge kweli kweli.
Hamna haipo hivyo mkuuKwa kifupi wamemvunja huyu wahuni hana rind@ itakua
Nawapataje?Waulize mds
Mkuu ungefunguka zaidi, hii inakuajeKitaalamu unashauriwa Uvundike UKE ili kuondoa sperms domination
Hii itasaidie akili kutulia na kuishi bila hofu.
Sijawahi kuwa humu, mimi ni mgeni humuUlikuwa unatumia ID gani zamani mkuu!