Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Mhhh

Mhhhh kwamba unataka utoboe Siri kuwa na marinda huna au?????

Ukimwambia hii lazma akuache, mwanamke Gani unakubali kufumuliwa mpaka marinda aiseeee,

Mwache mwenyewe atakuja gundua badae baada ya kukuweka dog staili, na hapo mtakuwa tyari mpo kwenye ndoa kwahiyo ujanja atakuwa hana.

Wee kausha hivohivo.
Umepiga kwenye mshono.
 
Hapa nachanganyikiwa kuna wengine wanasema ni heri ninyamaze naweza nikamwambia akashindwa kuvumilia
Unachanyikiwa nini? Hamna namna ataacha kujua maana inaelekea ulikuwa maarufu. Ukinyamaza na akija kujua hasira zake zitakuwa zaidi maana atakuona muongo na mtu ambae humtakii mema. Atafikiria jinsi alivyokuwa anachorwa wakati yeye anaona amepata.

Ukimwambia sasa halafu akakukubali, hamna kitu atakachosikia baadae kitambadilisha msimamo. Na wewe utakuwa huru zaidi kuliko hii ya sasa ya kuishi kwa uoga. Ukiifanya siri, watu wenye nia mbaya wataweza kuitumia ili kukuingiza zaidi kwenye mkenge kwa kuhofia siri kutoka.

Amandla...
 
Sema maisha
Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.

Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.

Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.

Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Sema maisha uliyoishi kwa uhalisia ili upate ushauri utakao kufaa.
 
Back
Top Bottom