Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Habari guys?
Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.
Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3.
Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa njia ya mtandao, na katika kada zote nilizochaguliwa wameweka muda unaofanana wa kufanyiwa usaili.
Sasa nawauliza wataalamu, ninaweza kuruhusiwa kufanya usaili katika kada zote nilizochaguliwa?
Au nitatakiwa kuchagua kada moja tu, ndio nifanyiwe usaili?
Wenye uzoefu, naombeni majibu na ushauri tafadhali.