Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

who the hell are you? Your are just an idiot whom you always f¿([< your mom. Akili imekujaa mavi tu. Do me a favor by passing my hey to your bitchmum hope alipona gono lake. Wewe hata cjui kwanini ulizaliwa
Mzee nimekuuliza unataka ligi na mimi niruke na wewe km unataka battle sema kwamba Mkuu nataka battle tulianzishe battle hapa mpaka uzi utapakae damu huu, sema kabisa nataka battle tufanye battle yaan ueleweke
 
nimekwambia upite kushoto nyamohene
 
nimekwambia upite kushoto nyamohene
Babu funguka unataka battle nishushe siliha zangu tuweke battle hapa, mimi sipitagi kushoto ukileta na mimi nakupelekea ushaelewa usinichukulie kinyonge wewe kumanini
 
Babu funguka unataka battle nishushe siliha zangu tuweke battle hapa, mimi sipitagi kushoto ukileta na mimi nakupelekea ushaelewa usinichukulie kinyonge wewe kumanini
pita kulia basi kama hutaki kupita kushoto nyamonenke
 
Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa njia ya mtandao, na katika kada zote nilizochaguliwa wameweka siku na muda unaofanana wa kufanyiwa usaili.
Maanake wanalijua hilo mkuu! Inaonekana hizo kada mpo wengi mmechaguliwa mara tatu, ndo maana wameweka muda unaofanana ili uchoose moja, kimsingi haiwezekani kufanya zote mpaka uchague moja!
 
Inategemea na muda wa usaili na kituo utakachopangiwa.

Mfano ukipangiwa kituo kimoja kwa saili zote tatu ila muda ukatofautiana ni ruksa kufanya saili zote. Au vituo vikiwa tofauti na muda tofauti unaweza kumaliza huku ukahamia kule.

Ila nakushauri kuwa na priority ya kada ipi unahitaji zaidi hata maandalizi jikite kwenye hiyo.

SABABU: Unaweza ukafaulu written ila practical ukakuta ni siku moja na muda mmoja hivyo ukashindwa kufanya zote kwa kada zenye practical ila oral hata kama muda ni mmoja hakuna kipengele.
 
Ndugu ww angalia ratiba tu na sizan kama hili jambo linahitaji ushauri
 
Back
Top Bottom