Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

Echolima1 hajakupa taarifa!?
There are recent rumors from Iranian media claiming that Benjamin Netanyahu may have been killed or injured, but these reports lack credible evidence and have been dismissed as false speculation. As of now, Netanyahu has made public statements and is actively involved in government activities.

The Jerusalem Post
 
Duru zinasema public statement iliyotolewa na Netanyahu hivi karibuni ni AI.
 
Mjinga promax, umeandika ujinga hiki ni nini? Unafikiri nini kuandika namna hii?
my friend kama nimeameka ujinga c upite kusho instead kunitolea mapovu hapa au unata utiwe dole. Acha shobo ndugu hunijui ckujui punda mzee wewe. Unadhani kila mtu ni wa kushobokea muone sura mbaya kufa unategea kabishane na wajinga wenzako pliz #VERBOSE mda mwingne ukiona mtu kaandka ujinga nenda chukua maji unywe yatakusaidia kupunguza kuadhirika kwa figo ndugu. na ujue jf si ya mama au baba ya mtu so lazma na ujinga uandikwe ok
 
Oya kwani nini mbaya Mzee hayo madole mboni unayapenda sana kuyaongelea? Nini kimekupata mkuu au ndio michezo yako kupigwa na kujipiga madole?
 
Habari guys?

Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.

Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3.

Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa njia ya mtandao, na katika kada zote nilizochaguliwa wameweka muda unaofanana wa kufanyiwa usaili.

Sasa nawauliza wataalamu, ninaweza kuruhusiwa kufanya usaili katika kada zote nilizochaguliwa?
Au nitatakiwa kuchagua kada moja tu, ndio nifanyiwe usaili?

Wenye uzoefu, naombeni majibu na ushauri tafadhali.
Unaweza. Hata Mimi nilifanya written za online nafasi mbili wakati mmoja, kazi zilikuwa Taasisi Tofauti. Nilifanya wa kwanza Kisha nikasubiri nusu saa nilifanya written ya pili. Tatizo lilikuja kwenye practical zilikuwa siku Moja muda mmoja hapo nililazimika kuchagua sehemu Moja tu, nashkuru nilipata hiyo kazi. Ila pia inategemea na wasimamizi wa Utumishi wengine wanoko wanaroho mbaya wanaweza kukuzuia. Hiyo pia ishawatokea wasailiwa wengine.
Ushauri wangu kama written imepangwa muda mmoja, anza na written ya sehemu unayoioendelea zaidi. Ukimaliza waeleze una mtihani mwengine. Hii itakusaidia wewe usipanic na kutoka kwenye mchezo ghafla. Hata wakikataa angalau utakua umeshafanya sehemu Moja Kwa utulivu zaidi. Nakutakia Kila la kheri.
 
Tatizo lilikuja kwenye practical zilikuwa siku Moja muda mmoja hapo nililazimika kuchagua sehemu Moja tu,
Hii sio kweli, hua hawafanyi hivi hapa umewasemea uongo muogope Mungu wako kwanini unasema uongo?
 
Oya kwani nini mbaya Mzee hayo madole mboni unayapenda sana kuyaongelea? Nini kimekupata mkuu au ndio michezo yako kupigwa na kujipiga madole?
VERBOSE siongei na vikojozi mimi kama umeshndwa kujieshmu ntakulazimisha ujiheshimu tu nyau ww. nimekwambia acha shobo hutaki mara ya mwisho ntakupga mandondi humu humu ndan hadi ushangae uliza yule jamaa wa mbeya nilichomfanya alianza kama wewe saa hvi kushka cmu hawez vidole hana
 
Unaweza. Hata Mimi nilifanya written za online nafasi mbili wakati mmoja, kazi zilikuwa Taasisi Tofauti. Nilifanya wa kwanza Kisha nikasubiri nusu saa nilifanya written ya pili. Tatizo lilikuja kwenye practical zilikuwa siku Moja muda mmoja hapo nililazimika kuchagua sehemu Moja tu, nashkuru nilipata hiyo kazi. Ila pia inategemea na wasimamizi wa Utumishi wengine wanoko wanaroho mbaya wanaweza kukuzuia. Hiyo pia ishawatokea wasailiwa wengine.
Ushauri wangu kama written imepangwa muda mmoja, anza na written ya sehemu unayoioendelea zaidi. Ukimaliza waeleze una mtihani mwengine. Hii itakusaidia wewe usipanic na kutoka kwenye mchezo ghafla. Hata wakikataa angalau utakua umeshafanya sehemu Moja Kwa utulivu zaidi. Nakutakia Kila la kheri.
Asante mkongwe!
 
Hakuna cha kutoa taarifa akifika atapewa maelekezo kwamba zote atafanyia hapo, akiingia kwenye mashine atakuta zote wamemwekea kwa hio ataanza kufanya moja akimaliza anakuja kufanya nyingine hapo hapo akimaliza atafanya tena hadi amalize ndio uzuri wa kufanya online,
Hapana taarifa anatoa akishapata zote,zile kada ambazo hataenda anatolea taarifa ili na wengine wapate
 
VERBOSE siongei na vikojozi mimi kama umeshndwa kujieshmu ntakulazimisha ujiheshimu tu nyau ww. nimekwambia acha shobo hutaki mara ya mwisho ntakupga mandondi humu humu ndan hadi ushangae uliza yule jamaa wa mbeya nilichomfanya alianza kama wewe saa hvi kushka cmu hawez vidole hana
Duuh kumbe ni Manzi, basi ngoja nifanye hivi tufanye yaishe, nishakuelewa
 
Hapana taarifa anatoa akishapata zote,zile kada ambazo hataenda anatolea taarifa ili na wengine wapate
Hakuna habari ya taarifa akienda alipopangiwa maelekezo yote atapatiwa palepale km anafanya interview zaidi ya moja, hua wanasema km kuna yoyote ana swali aulize akiona hajapewa maelezo yaliyotosheleza anauliza swali atajibiwa ila kufanya atafanya kwenye hio sehemu aliyofika, wewe umewahi fanya kwanza au huna experience unasema tu by the way?
 
Hii sio kweli, hua hawafanyi hivi hapa umewasemea uongo muogope Mungu wako kwanini unasema uongo?
Verbose, kwenye practical/oral inakuwaje?
Kwa online session, nimekuelewa, nipe na maelekezo ya jinsi naweza fanya oral interview ya hizo kada zote nilizokuwa SHORTLISTED.
 
Practical unapangiwa siku tofauti zote hawawezi kukuwekea siku moja, written inakua siku 1 sababu mnafanya on-line, the same kwa oral ni hivyo hivyo kwa hio hapo km una 3 basi Practical huwezi kufanya zote siku 1 utapangiwa siku tofauti tofauti na oral ni the same, ushaelewa sasa au bado una swali? In short unafanya zote yaan hapo ukimbie wewe tu
 
Bongo bahati mbaya hizo nafasi zote tatu hutoboi hata moja ukikaa vibaya.
 
mamako ndo manzi wangu kaa utulie kijana
Oya unajua nimekustahi sana, mimi hua nina limits zangu ukiona nakuvungia vunga ushaelewa km unataka ligi sema nataka ligi tuweke ligi, mentioning my mother for no reason ili upate nini labda kwa mfano? Did I mention your motherfacking bitchmother who I facked her yesterday? Fack Off #bitchass
 
who the hell are you? Your are just an idiot whom you always f¿([< your mom. Akili imekujaa mavi tu. Do me a favor by passing my hey to your bitchmum hope alipona gono lake. Wewe hata cjui kwanini ulizaliwa
 
Back
Top Bottom