Na hapa ndipo alipopotea Mtibeli na Prida kapatia.Isipokuwa upande wa hisia , wanatumia sana hisia ila bado ufanisi wao ni mzuri na mkubwa .
Tena ndiyo anakuwa na mood kinoma ili "apunguse mawaso".mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.
Mkuu unaweza kunielewesha kwanini inaonekana tumemuunga mkono mtibeli sababu sisi ni shabiki zake?Nimerudia kusoma huu uzi wa mleta mada, sijaona kosa lake, yupo sahihi asilimia kubwa.
- Kama wanaomponda wanasema ametumia mawazo/hisia zake, kwani yeye mtibeli alivyoleta ule uzi wake alitumia mawazo ya nani mwingine zaidi ya mawazo yake binafsi?
- Baadhi wanamponda mleta mada, but nikisoma criticism zao hazielweki, wengine wameegemea kwamba some people wana attack mtibeli's personality, kama ni hivyo hao wapuuzwe wa focus na wale wanaoenda kujibu hoja.
- Mleta mada amezungumzia upeo wa mwanaume kwenye maisha kwa ujumla, hii ni zaidi ya maarifa anayopata mtu darasani.
Unaweza kuelimika sana kwa level ya education, but generally outside your field ukawa empty. Hapo ndipo mwanaume ana prevail, naamini hii ndio idea ya mleta mada.
Nilichojifunza kwenye huu uzi: Wapo fans wa mtibeli wanaoamini jamaa ni malaika hakosei, tena jambo nililoliona vizuri, ambalo naamini ni tatizo kwenye jamii yetu ni hili;
Sababu mleta mada ni mtoto wa kike, basi wengi wanaompinga ni wa kike wenzake, hii ni natural, iko hivyo vyuoni mpaka maofisini, wakike kwa wa kike mara nyingi huwa hawaivi pamoja.
Mwisho niseme tu, watu wajifunze kuchambua mambo kwa upana wake bila kuwa influenced na ushabiki wa mtu, hakuna malaika humu ndani, na huwezi kuwa GT kama unatembea na mawazo ya kumlinda mtu muda wote hata kama akikosea.
Mleta mada nikupongeze, umefunguka na umeonesha una uthubutu. Hiyo ndio maana ya JF, umekataa kuwa mwana kondoo wa mtibeli kwa maelezo yanayoeleweka kabisa, isipokuwa kwa wachache wasiotaka akoselewe.
Naomba kujifunza.Na hapa ndipo alipopotea Mtibeli na Prida kapatia.
Udhaifu wa kuathiriwa na hisia unapunguza uwezo wa mtu yeyote kutumia akili yake ipasavyo kwenye kitaua changamoto. Au kufanya maamuzi sahihi.
Na hapo ndipo mwanaume mwenye IQ ya wastani anaweza kumpita mwanamke mwenye IQ kubwa zaidi yake kwenye kufanya maamuzi sahihi.
Naongezea 2..Ahsante kwa kututetea mkuu..huyo jamaa ana Ego kubwa mnooo. Kila anacho andika anataka kiwe vilevile..hataki kupokea mawazo mbadala.
Unatumia bia gani nkulipie hata 3 mkuu prida
OK ila you can't say that on someone's face just because wewe umem perceive mtu kwa namna fulani, kuna obligation ya kumwambia ni nini au wapi hayuko vyema!Suggestion yangu kuna nikikukuta kwenye mjadala mwingine nitajadili na wewe ni suggestion binafsi. Unaweza jadili na wengine tatizo nini?
Hapo unanifanya niurudie kuona it's ego speaking! Yaani ndo maana Kuna jukwaa kama hili? We share ideas and experiences, sasa unasema mtu akasome, alaf unasema hajui wewe unajua? Je who is to blame hapo? Hauoni kuwa wewe ndo mwenye ignorance?Watu watajuaje kwanini? hatupo babe class, kila sehemu kuna maarifa unaweza kujipakulia uwezavyo. Nikisema tunachanganya dhana sina obligation ya kuanza kuchambua dhana moja moja.
Apples and oranges!In a way, sijakwambia hujui nimekwambia kuna mahali unafanya vizuri zaidi. Usiwe mkali ni kawaida tu . Apples and oranges.
Ukikubali ego kwangu, inabidi uniambie unaikataaje ego kwako?
Huo si uhalisia, hiyo ni rumor ambayo hauna uhalisia ndani yakee! Of course inawezekana ikawa fact, ila mzani haureflext real life scene. So you were wrong all along. Mwanamke anaweza kumtamani mwanaume ila her biology is designed for emotional safety before doing so. So she has to see potentially of safety and power from a man. Ndo maana tunao a macelebrity na watu wenye pesa wanapendwa sana na wanawake.Kwanini mimi na wewe tena tujadili reality ya ule uzi wakati uzi wenyewe ulikuwa umejadili reality, na mimi comment yangu ilikuwa kuunga mkono ile reality, ulitaka nitoe wapi aina nyingine ya reality nijadili na wewe?
Big elephant?Unaelewa kwanini comment yangu ya kwanza ilianza kwa kusema this is the big elephant in the room 😀 Maana yangu nilikuwa nacement hoja ya mleta mada kuwa : huu ni uhalisia, lakini sio jambo ambalo wengi wako tayari kulisema au kulikiri. Na ndivyo ilivyo kuwa.
Wewe umri wako ni sawa na wa lastborn wetu. Unaandika kwa hisia sana badala ya kutumia akili. Punguza hisia kulinda uanaume wako.Wewe AKILI HUNA. Andika kama mtu anayejitambua mbona vijana wa miaka hii mnajichetua?
Kwenye suala la IQ kwangu naona wanaume na wanawake hawana tofauti.Naomba kujifunza.
Ili tujue wanawake tunatumia hisia zaidi kuliko wanaume lazima tupime/tuangalie madhara .
Madhara ya matumizi ya hisia kwa ke, yakilinganishwa na me ni yapi?
Nataka kufahamu ni kwanini ilionekana kuwa wanawake tunatumia hisia zaidi kuliko logic kinyume na wanaume, mnapimaje hili jambo?
Mnapenda majibizano kuliko majibu sahihi.
I am sorry, this is nothing…. unless kama kinakupa mental orgasm.
Mleta mada ameandika whole alot of nothing.
Watu wazima tukae tunajadili kuwa mwanamke hata asome vipi, atazidiwa akili na mwanaume… ? Are you people serious?
Swali pamoja na jibu lake.Mleta mada amezungumzia upeo wa mwanaume kwenye maisha kwa ujumla, hii ni zaidi ya maarifa anayopata mtu darasani.
Unaweza kuelimika sana kwa level ya education, but generally outside your field ukawa empty. Hapo ndipo mwanaume ana prevail, naamini hii ndio idea ya mleta mada.
Yes, nyie ni mashabiki wake kwasababu hoja mnazotumia kumpinga mleta mada hazina mashiko, hasa majibu kwenye comments zako nikiyatazama.Mkuu unaweza kunielewesha kwanini inaonekana tumemuunga mkono mtibeli sababu sisi ni shabiki zake?
Nafahamu unafahamu kuwa mtibeli anamaandiko mengi humu, chances are wengi tuliounga mkono hoja uzi wa jana, tumemkosoa hadi kwa ugomvi kwenye nyuzi zingine. Hili hulioni au huwezi kulisemea.
Halafu achana na gender cards hapa. Jamii forums kwa kiasi kikubwa hii kitu haipo. Labda huko kwingine. Hatujampinga Prida kwasababu hizo hilo
liko wazi. JF ni sehemu ambayo wanawake kwa kiasi kikubwa tunashambuliwa sana, tumeshatengeneza sisterhood ya kuteteana/kutetea gender yetu, ni aghalabu tunapingana kama tulivyompinga Prida leo.
Nakwambia hivi acha kujichetua. Mimi nimemaliza. Hayo mambo ya lastborn wenu mimi sio hoja yangu.Wewe umri wako ni sawa na wa lastborn wetu. Unaandika kwa hisia sana badala ya kutumia akili. Punguza hisia kulinda uanaume wako.
Hakuna faida yoyote ile ya wewe kujichetua na kuandika mambo yasiyo na mantiki.Wewe umri wako ni sawa na wa lastborn wetu. Unaandika kwa hisia sana badala ya kutumia akili. Punguza hisia kulinda uanaume wako.
Hapo umejichanganya madam!Bila kuwachanganya further lol, mfano hii physical attraction; akiingia mwanaume bar ambae generally ni attractive unadhani wanawake hawatamuangalia mara mbili mbili? Je hapo tunakuwa hatujatamani???? Binafsi naamini kuna kuvutiwa in initial contact, unachofanya baada ya hapo ndio tunatofautiana...
MkuuMengi hayajitoshelezi, unaonesha mleta mada amekosea, but huoneshi kosa lake, pia, nimekusoma pengine unaonekana una "EGO" kujitofautisha na wachangiaji wengine unajiona una uelewa mpana zaidi yao.
Una ID mbili? Ndo madhara ya kutumia hisia haya hadi tumejua ID yako nyingineNakwambia hivi acha kujichetua. Mimi nimemaliza. Hayo mambo ya lastborn wenu mimi sio hoja yangu.
Nitaichukua kama ilivyo maana imekuwa personal sana, May be ilikuwa ni makosa toka mwanzo kuomba unieleweshe kwanini tumeonekana ni mashabiki wa mtibeli kwa kutumia uzi mmoja wa jana.Yes, nyie ni mashabiki wake kwasababu hoja mnazotumia kumpinga mleta mada hazina mashiko, hasa majibu kwenye comments zako nikiyatazama.
Mengi hayajitoshelezi, unaonesha mleta mada amekosea, but huoneshi kosa lake, pia, nimekusoma pengine unaonekana una "EGO" kujitofautisha na wachangiaji wengine unajiona una uelewa mpana zaidi yao.
Lastly, unaposema tabia za wana JF sio za society tunayoishi nayo unakosea, kama members wa JF wanatokea kwa society tuliyopo, how wawe na tabia nje ya society wanayoishi?
Unamaanisha JF inabadilisha tabia za watu, now tell me how?!