Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Kama umebobea katika maswala ya dini jibu ni "hapana " kumbuka mwanamke ni ubavu mmoja tu wa mwanaume. Ubavu mmoja utashindana na mbavu nyingi?
Iwe kwa dini au kwa namna nyingine yeyote ile mwanamke hawezi mzidi mwanaume akili
 
Umepangilia hoja kisomi na kiutu uzima sana👏👏
 
Angalia wanasayansi wote duniani, kuna wanawake wangapi? Newton, Einstein nk. Wanafalsafa, Plato, Socrates, Aristotle nk. Kuna jina la kike hapo?
Hata mkutano ule wa Beijing nasema ni moja ya upuuzi mkubwa.Hata orodha ya wanaomudu somo la hisabati madhuleni ni wavulana ndo manq akitokea wa kike akatusua hisabati inakua gumzo.
 
Nilikua natafuta mwanamke wa Mfano wako nifunge nae ndoa ..pokea Ombi langu Binti mrembo , mtoto wa mwaka 2000
umenikosha sana, wew ndie mwanamke wa ndoto zangu..naahidi kuachana na kataa ndoa na kuishi nawew milele ..naomba upokee Ombi langu Binti mrembo , mtoto wa mwaka 2004
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…