Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Unajua nini mnaongea sana,
Hamna facts, mkiulizwa what's behind your explanation hamna majibu!

Na kubaya zaid mnaacha wanaume wajibizane in the name of manipulation.

Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu.

Periodt
 
Before ya huo uchambuzi wote si ni tamaa ndio inaanza so sio kwamba hatutamani ila tupo smart kuwazidi

Hatukubari tamaa zituongoze ndio maana tunaweza kuzizibiti

Hivi hapa hamjioni kama mna weakness ya jogoo la kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kweli kwamba hamkubali tamaa ziwaongeze bali ni kwamba evolution au mlivyoumbwa whatever imewafanya tamaa yenu kuimbatanisha na mambo mengine mengi kabla ya kuundea mchezo tofauti na wanaume ambao wao tamaa yao inasimama yenyewe tu haina kipengele😁
 
So kipengele tunacho sisi
Haya mkuuπŸ‘
 
Nikuongeza hata nukta nitaharibu.
Asante kwa ufafanuzi mzuri sana.πŸ™
 
hata nami niliumizwa sana na andiko la kaka mtibeli, sema ndo vile tu huwa napenda kuheshm uhulu wa mtu kujieleza.. prida umeupiga mwingi dada. mtibeli me ni mwanaume ila sikukubaliana na hoja yako kuwa kama wanaume wanataman wanawake wengine vivyo hivo kwa wanawake pia mana wote ni bin adam, SI SAWA KAKA MWANAUME KAPEWA HIYO KARMA NA MUNGU.ndo mana toka enzi na enzi mwanaume anaweza oa hata wake kumi lakn mwanamke haiwezekan,
 
Daah.
ASante sana mkuu kwa kufafanua vizuri hili jambo.
Ndo mana,kwa vile inabidi sisi wanawake lazima tujihakikishie mambo fulani kabla yakutoa mchezo imewafanya nyie wanaume MUWE WAONGO na kwa vile mmetuzidi akili huwa mnatudanganya mambo ambayo tunapenda kuyasikia ili kufupisha muda wa kusubirishwa.Na kwa vilemmetuzidi akili siku huwa mko vizuri sana kudanganya kiasi kwamba ni rahisi sisi kuwaamini.Yaani unakuta siku mwanamke anagundua kadanganywa ni siku tayari keshakua singo maza njemba imemtelekeza kama sio ile ilikua inasema haiwezi kuishi bila yeye.
 
Hivyo ndivyo ilivyo, ni sababu za kimaumbele kabisa( evolutionary biology and psychology).
 
Robert Heriel Mtibeli ni kaka yangu wa dhahabu kabisa namuheshimu na yeye anajua ila ikibidi kumpinga nampinga tu.

Asante mkuu.πŸ™
 
Robert Heriel Mtibeli ni kaka yangu wa dhahabu kabisa namuheshimu na yeye anajua ila ikibidi kumpinga nampinga tu.

Asante mkuu.πŸ™

Ahsante sana. Na kakaako haogopi kupingwa hasa kwa hoja..
Anapenda watu wanaojenga mijadala kwa hoja.

Na wale watukanaji anawatumia kujifurahisha. Kwani ni moja ya michezo anayoipenda.
Michezo ya kuchezea vichaa
 
Asante mkuuπŸ™

Vijana wanaotafuta wenza waelekeze nguvu kwa warembo wetu kina Seran maana mimi ni mke wa mtu kwa sasa tena mama kijacho.
 
Huu ndiyo utofauti ambao upo kwenye lile bandiko.

Kwamba asilimia za mwanaume kutamani na akatenda ni kubwa sana kuliko za mwanamke.

Hili wala halihitaji kipingamizi.
 
Ahsante sana. Na kakaako haogopi kupingwa hasa kwa hoja..
Anapenda watu wanaojenga mijadala kwa hoja.

Na wale watukanaji anawatumia kujifurahisha. Kwani ni moja ya michezo anayoipenda.
Michezo ya kuchezea vichaa
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…