Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

Nimelala naye siku moja Tu, leo ananiambia ana Mimba!

Nobrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
248
Reaction score
699
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana?? [emoji856]

Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸 Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.

Lakini leo baada ya Mwezi kupita ananipigia simu ananmbia eti ana Ujauzito!![emoji1768] na ananihakikishia hajakunata na Mwanaume Mwengine toka siku ile.

Hivi hii inawezekana kweli? Au anataka kunipiga changa la macho? Na ukizingatia Dem mwenyewe siyo mtanzania alikuja Tu kwa Issue zake za kibiashara. Au kuna kitu anajaribu kunitega?

Msaada Please.
 
Mkuu inawezekana kwa asilimia 15 tu 85 zilizobaki hapana

Kuna visa pia vya wanawake waliotoka period na kushika mimba ila ni vichache so muamini kwa aslimia 15 nyingine 85 utazijua kwa DNA

Next time acha kufakamia mizigo kavu kavu
 
Mmmh Hilo ni Changa la macho..ni asilimia chache sn kusema kuwa ni kweli alipata mimba siku hiyo...suluhisho sahihi ni kwenda kumpima na ijulikane ni ya miezi mingapi. Kwa maana ni ngumu sn kupata mimba siku 1 baada ya period. Na km ulikuta vidam dam vya mwisho, si ajabu mtu kuwa mjamzito na akawa anaenda period km kawaida. Anatafuta wa kumbambikia huo mzigo. Tegemea kitu kizito kichwani.

Nb:. Halafu na ww, utamu wa kavu unautaka. Unashindwa kumwaga nje, unajimwagia tu hovyo hovyo?. Kuwa mwangalifu.
 
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana??[emoji856]

Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸
Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.

Lakini leo baada ya Mwezi kupita ananipigia simu ananmbia eti ana Ujauzito!![emoji1768] na ananihakikishia hajakunata na Mwanaume Mwengine toka siku ile.

Hivi hii inawezekana kweli? Au anataka kunipiga changa la macho?
Na ukizingatia Dem mwenyewe siyo mtanzania alikuja Tu kwa Issue zake za kibiashara. Au kuna kitu anajaribu kunitega?

Msaada Please.
hhhhhh koo kk utk sioo yko
 
Atakayekuja kugundua barometer ya moyo atakuwa bilionea sana. Ati anakuhakikishia hajawahi kukutana na mwingine! Only if angel means malaika.
 
You are making good use of your I'd. You meet someone for the first time and have unprotected sex and then have the courage to come and ask for advice. Pambana na hali yako.
 
Huyo mzunguko wake ni siku 21 mimba huanzia siku ya 6 baada ya bleed....mimba ni Yako mtoto wa kike
 
You are making good use of your I'd. You meet someone for the first time and have unprotected sex and then have the courage to come and ask for advice. Pambana na hali yako.
Hi dude, I didn't Ask you to comment your childish and stupidity. Don't mis-use your airtime for nonsense.

If it doesn't have any purpose to your value just pass and Dissappear without a notice.

Do you even know the essence of unprotected sex?
What are you protecting from?
I hope Sijakufanyia dharau, ila nimekukumbusha matumizi mazuri ya Bando lako.
Thanks in advance.
 
Huyo mzunguko wake ni siku 21 mimba huanzia siku ya 6 baada ya bleed....mimba ni Yako mtoto wa kike
Doooh!!! Hii imeniingia akilini Mkuu.
Japo inabidi niwe makini[emoji846]
 
Inawezekana ikawa yako na isiwe yako vilevile ..kutegemea na mzunguko wa muhusika
 
Back
Top Bottom