Nobrain
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 248
- 699
Habari wakuu, kiukweli kuna Jambo linanishangaza. Hivi ni kweli inawezekana?? [emoji856]
Kuna dem mmoja, nilikutana naye katika mission zangu, baada ya Kukubariana aliniambia atanipa Tunda, ila akishamaliza period. 🩸 Sasa siku moja baada ya Kumaliza period tulikutana akanipa Tunda. Tena nakumbuka palikuwa na vi ukoko ukoko vya Bleed kwa mbali.
Lakini leo baada ya Mwezi kupita ananipigia simu ananmbia eti ana Ujauzito!![emoji1768] na ananihakikishia hajakunata na Mwanaume Mwengine toka siku ile.
Hivi hii inawezekana kweli? Au anataka kunipiga changa la macho? Na ukizingatia Dem mwenyewe siyo mtanzania alikuja Tu kwa Issue zake za kibiashara. Au kuna kitu anajaribu kunitega?
Msaada Please.