Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Kongole mkuu
 
Kamanda tulia tutamnyoosha Robert na kibaraka wake
Mungu amewaondolea kibali machoni pa Mbingu na duniani Utawala huu dhalimu thus alimuokoa Lisu mlipompiga risasi,na kwa kupigwa kwake taifa linakombolewa kesho.
 
Mimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu
Nadhani watu wanaoombea amani bila kutaja uhuru na haki watakuwa wamejitengenezea mungu wao. Mungu mwenye nguvu anakupa uhuru wa kumchagua yeye au kumiataa, ni haki yako kuchagua upendacho
 
Umesafiri kwenda kuwanga unasingizia Amsterdam, bora mabeberu watawale kuliko CCM
 
Kw
Kwa hiyo upo Uturuki saa hizi?
 
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Usaliti ni laana kwa Taifa

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Nani alikuwa kibali cha kutusemea watanzania, hakuna mropokaji kama magu mpaka anamtogozea mama yake mzazi mabwana, laaana tupu
 
Njoon wote Tusimamae kwa Ajili ya Mama yetu Tanzania na wala Tusimwache ateseke peke yake!

Vijana wenye Nguvu tusimame tuwe Kitu Kimoja! Tusimwache Mama huyu Tanzania.

Tumtetee kwa Maslai ya waTanzania wote na sio Maslai ya mtu binafsi na kikundi chake toka nje uko!

Na njia pekeee ni ya kumchagua Daktari JPM.
Ahsante I Love you My Mama TANZANIA❤
 
Kura halali zinajaa kwa Lissu ila kura za wizi ndizo mnazoangaika nazo kwa mgombea wenu, nyie wenyewe mnajua hapendwi ila ndio hivyo tena msipopiga domo mtakula wapi, mtakufa njaa
 
Nadhani watu wanaoombea amani bila kutaja uhuru na haki watakuwa wamejitengenezea mungu wao. Mungu mwenye nguvu anakupa uhuru wa kumchagua yeye au kumiataa, ni haki yako kuchagua upendacho
Amani maana yake hali ya kuwa na RAHA na SALAMA, ukiwa na raha maana yake uko na uhuru na ukiwa salama maana ya unapata haki yako. Hivyo neno AMANI linabeba HAKI na UHURU ndani yake...
kingine..
 
Hiyo njozi ya kubumba itakapoisha utatukuta tunashangilia mwanzo wa ukombozi wa taifa letu kutoka kwa makaburu weusi.
 
Kilometa 1,000 ni Dar hadi Mwanza kwa barabara, sasa hiyo safari yako ni wapi hadi wapi?
 
Hivi wewe huna uhuru na haki?
Nadhani watu wanaoombea amani bila kutaja uhuru na haki watakuwa wamejitengenezea mungu wao. Mungu mwenye nguvu anakupa uhuru wa kumchagua yeye au kumiataa, ni haki yako kuchagua upendacho
 
Umepoteza pesa zako na muda wako...hio hela ungeisaidia familia yako masikini au ungeenda kutoa sadaka

Chagua Lissu, Chagua uhuru, haki na maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…