Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Kuna kundi niliwah unganishwa na mteja ambae nilimpa namba baada ya kufanya nae biashara sekunde ya mwanzo tu ziliingia sms km mia na ktk hizo jumbe na picha za utupu nazo zimo ilibid nitoke tuMi ndio maana nimezuia kwenye settings kuwekwa kwenye magrupu bila ridhaa yangu, hizo settings zipo for a reason, use it.
Ni sahihi, hata usijilaumu kuleft hilo group.Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
AhsanteNi sahihi, hata usijilaumu kuleft hilo group.
Group la familia ni Baba,mama na watoto.
Shemeji,mjomba, shangazi, bibi,babu na n.k hawana sifa ya kuwa members, wao wanafamilia zao pia.
Nitazingatia hii mkuu.Next time fanya settings za wasap mtu hawez kuku add mpaka uruhusu..toka nifanye hiv..nna amani
Nawashukuru sana kwa kunipenda na mimi nawapenda pia ndio maana nikamuoa mtoto wao.Ukiona hivyo Una pendwa walikuunga kwa Nia njema walikuona ni sehem ya familia
Ujinga kama huu kawaulize hao ndugu zako, usituletee hapa! Hapa tunajadili issues na siyo huu utumbo wako!Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
WhatsApp hao wameanzishakwanza mambo ya magroup nani kaleta
Tuma namba nikutumie hela ya kula naona una njaa.Ujinga kama huu kawaulize hao ndugu zako, usituletee hapa! Hapa tunajadili issues na siyo huu utumbo wako!
Yaelekea huna mahusiano mazuri na jamiiMimi hata group la familia yetu tu huwa sikai maana usnitch huwa sitaki. Mimi group langu ni moja tu la Liverpool FC mambo ya soka tu.
Wakiniweka group sijui la shule najitoa sijui la familia najitoa sitakagi uduanzi mimi. Sasa sembuse la ukweni.
Mahusiano sio mazoea. Sina shida na mtu isipokuwa sipendi mtu anifuatilie wala sipendi kufuatilia mambo ya mtu. Hata kwenye ngazi ya familia. Napenda kufanya mambo yangu kivyangu vyangu.Yaelekea huna mahusiano mazuri na jamii
Akili haijapevuka ila wanajua kuchomeka na kuchomoa basiSometimes najiuliza, hivi ni kwamba watu wanalazimishwa kuoa kabla hawajapevuka au akili za vijana wa siku hizi zimezoea kudesa /kuigilizia (kucopy and paste)
Won't cost you wapi? Ukishazoeana na familia ya mkeo ikitokea shida yoyote we ndio wa kwanza kupgwa kizinga.Umeoa ila una utoto mwingi bado nyie ni familia moja learn kufanya socialization na watu and be humble it won't cost you anything
Yaan ni shida tupuuuAkili haijapevuka ila wanajua kuchomeka na kuchomoa basi