Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Maswala ya MWANASHERIA hayo ndio tunaingizana ktk Mikataba ya KILAGHAI.

Ngoma ipigwe kavu kavu.
Hamna ulaghai maana tunaweka wazi makubaliano yetu. Na wala hatutahusisha mali zetu.. na kila mtu atakuwa free ila tu heshima iwepo. Ni mahusiano ya kula raha tu
 
Hii approach sio sahihi sana.
Mambo ya ndoa ni watu wawili tu. Huko kwingine ni kujichoresha tu!
 
Sasa hapo nawe si utoke nae muwe mmebalance equation, shida nini?
 
Chai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna ulaghai maana tunaweka wazi makubaliano yetu. Na wala hatutahusisha mali zetu.. na kila mtu atakuwa free ila tu heshima iwepo. Ni mahusiano ya kula raha tu
Em njoo Chemba tuyajenge..
 
Na wewe equalize kwa kutembea na huyo mke wa mtu...
 
Hebu ngoja ipite wiki nihakikishe kama hizi hisia zangu ni kweli au la, maana leo nimeamka nachekacheka tu sijui tatizo nini
Hujui tatizo hapo? Mie naliona kabisa lipo wazi.
 
Mkuu kwanza pole sana kwa hilo

Mi nakushauri kama unamfahamu huyo mdada mtafute mzungumze ili akupe details zote. Baada ya kuupata ukweli kama ni kweli mkeo anatoa mbususu kwa huyo jamaa. Ili kupunguza machungu na wewe mle huyo mdada na baada ya hapo piga biti kali mkeo. Maana ukiacha kumla utakuwa mnyonge daima.

Wakati mwingine kulialia hakusaidii sana yaani ngoma ikija hivi ruka nayo kama ilivyokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…