Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Ampe tu hiyo talaka kama vipi kuliko kuishi na bomu ndani. ata sielewi kwa kweli 😊Kuna nini mkuu.
Hapa nipo na jamaa anasema mke wake anataka taraka kisa mke kapata mpenzi mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ampe tu hiyo talaka kama vipi kuliko kuishi na bomu ndani. ata sielewi kwa kweli 😊Kuna nini mkuu.
Hapa nipo na jamaa anasema mke wake anataka taraka kisa mke kapata mpenzi mwingine
Hamna ulaghai maana tunaweka wazi makubaliano yetu. Na wala hatutahusisha mali zetu.. na kila mtu atakuwa free ila tu heshima iwepo. Ni mahusiano ya kula raha tuMaswala ya MWANASHERIA hayo ndio tunaingizana ktk Mikataba ya KILAGHAI.
Ngoma ipigwe kavu kavu.
Hii approach sio sahihi sana.exalioth usihangaike mtafute yule dada aliyesema hivyoo baada ya hapo mwambie naomba namba za mumeo , akikupa mwombe mkeo simu halafu piga hiyo namba au text au piga uone amemsavuje au amejibu message imeandikwaje halfu screen shots watumie wazee wako nawake halafu unaomba ushauri . Nifanyaje
Hii ndio suluhuNahisi maumivu yako.
Be a man mchukue mke wako mpaka kwa huyo dada then mwambie arudie kusema yale aliyokuambia
Chai [emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Em njoo Chemba tuyajenge..Hamna ulaghai maana tunaweka wazi makubaliano yetu. Na wala hatutahusisha mali zetu.. na kila mtu atakuwa free ila tu heshima iwepo. Ni mahusiano ya kula raha tu
Naogopaaaaa😀Em njoo Chemba tuyajenge..
Unaogop nin Demy.. em nambieNaogopaaaaa😀
Thread Closed!best option ni kubadilishana tu, waambie waendelee na ww anza nae aliekuletea mada,end of a storry. hakuna kesi hapo
Kwa reaction zake atajua tuKwamba atajibu anatoka nae kwel[emoji2309]
Hebu ngoja ipite wiki nihakikishe kama hizi hisia zangu ni kweli au la, maana leo nimeamka nachekacheka tu sijui tatizo niniUnaogop nin Demy.. em nambie
Hujui tatizo hapo? Mie naliona kabisa lipo wazi.Hebu ngoja ipite wiki nihakikishe kama hizi hisia zangu ni kweli au la, maana leo nimeamka nachekacheka tu sijui tatizo nini
Ni sahihi maana angejiheshimu watu wasingefikia huko au ndio wewe upo na mke wawatu niniHii approach sio sahihi sana.
Mambo ya ndoa ni watu wawili tu. Huko kwingine ni kujichoresha tu!
Eti ni kweli nilichosikiaKwa reaction zake atajua tu
Nidokeze basi ili nitafute suluhisho ....maana daaa yaani daaaaHujui tatizo hapo? Mie naliona kabisa lipo wazi.
Oooh kwelKwa reaction zake atajua tu
Mkuu kwanza pole sana kwa hiloNdugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa