Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Kilichosababisha huyo mwanamke aondoke ni nini, au huyo mumewe ambaye ni rafiki yako ana shida mahali Aaliyyah
 
Ni sahihi maana angejiheshimu watu wasingefikia huko au ndio wewe upo na mke wawatu nini
Ukishindwa kuyamaliza na mke wako au mme wako. Basi bora muachane.

Kutegemea ushauri kwa mambo ya mtu kaliwa huko huo ni ujinga mnajitangaza na kuchafuana.

Tukae tuzungumze kama unakubali na kuomba msamaha sawa. Na mimi itategemea nakusamehe au lah. Hayo ndiyo maamuzi kwa mwanaume anayejielewa..

Huko kwenye ushauri mtaambiwa msamehehane tu ni mambo ya ndoa unadhani watakwambia muachane?
 
Shahidi ni huyu mke wa mtu anayetembea na mkeo! Tulia kwanza mfuatilie huyo mke wa huyu mwizi wako!
Fanya upepelezi mpaka utakapogundua! Then maamuzi yatakuwa juu yako!
 
Mkuu mi nadhani hapo akigundua mke ametoa utamu na yeye amle tu mke wa mtu. Maisha haya utaacha wangapi maana inawezekana huyo mke mambo mengine yuko vizuri sasa unamwachaje dawa ya mke msaliti ni kumpiga matukio ya aina hiyo mpaka anakaa kwenye fomu. Kumuacha tu utakuwa umemsaidia atakayemuoa baadaye sidhani kama ni sahihi kumfundishia mtu mwingine.

Halafu wanaume tuliooa tuache kuwa na mtu mmoja piga wanawake wengi kadri iwezekanavyo
 

1. Pole Kwa taarifa Mbaya.

2. Kama Mkeo Hana mabadiliko yoyote ya kitabia, na mienendo yenu iko kama zamani. Puuzia habari hiyo.

3. Kama kuna Jambo kubwa mlipanga kulikamilisha na bado halijakamilika, mfano ujenzi, Achana na hizo taarifa. Hazina Maana yoyote.

4. Kama kuna mabadiliko yoyote ya kitabia ambayo hayatokani na mtazamo wako Baada ya kupewa taarifa Hii, basi Anza kufuatilia.

5. Jitahidi Kutumia busara kumuepusha Mkeo na hatari za Wezi ili wasijevunja familia yenu.

6. Ikiwa itashindikana kabisa, basi mnawezaandaa Mpango WA kuachana Kwa Amani pasipo kuumizana kiuchumi, na kijamii.
 
Mtafte mleta maneno, mwende njee kabsa ya eneo mnalofahamika, have lunch or dinner together kisha msuuze mioyo yenuuu mkitoka hapo mnapanga namna ya kumdaka mkeo
 
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
We Yuda we, mbona hii story yako kama umetupanga kimtindo hivi!
Hebu tuambie mkeo anaitwa nani maana asije kuwa ni Dellila maana tutajua kimeumana.
YUDA ESCARIOTE VS DELLILA SAMSON
 
Ukiona mwanamke anaongea hadi analia hiyo ni red flag. 100% a lie
 
🎶Mke/ mume wa mtutututututu sumuuu🎼

Pole sana asee kaa na mkeo muyajenge au potezea muendelee na maisha!
 
Utaweza letewa magonjwa nyumbani lazima ujue ukweli
 
Sasa mkuu hapo si mbadilishane tu.

Wewe unachukua mke wa jamaa, Jamaa ana chukua mke wako.

Kama vile nchi zinavyo badilishana wafungwa.[emoji23][emoji23]
 
Mkuu,
Kwanza kabisa yeye huyo akupe ushahidi unaojitosheleza.
Sio maneno matupu kama aliyokuja nayo.
HEBU PATA USHAHIDI KWANZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…