1. Pole Kwa taarifa Mbaya.
2. Kama Mkeo Hana mabadiliko yoyote ya kitabia, na mienendo yenu iko kama zamani. Puuzia habari hiyo.
3. Kama kuna Jambo kubwa mlipanga kulikamilisha na bado halijakamilika, mfano ujenzi, Achana na hizo taarifa. Hazina Maana yoyote.
4. Kama kuna mabadiliko yoyote ya kitabia ambayo hayatokani na mtazamo wako Baada ya kupewa taarifa Hii, basi Anza kufuatilia.
5. Jitahidi Kutumia busara kumuepusha Mkeo na hatari za Wezi ili wasijevunja familia yenu.
6. Ikiwa itashindikana kabisa, basi mnawezaandaa Mpango WA kuachana Kwa Amani pasipo kuumizana kiuchumi, na kijamii.