katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Unaela?saivi range yangu kwa siku inakunywa mafuta ya laki fulani hivi.Njoo tena basi tuanzie tulipo ishia...π
We nikikudia boda tu inakutosha...π€£Unaela?saivi range yangu kwa siku inakunywa mafuta ya laki fulani hivi.
Mh....analiwa kweli mkeo.ShtukaAnakutaka huyo mwanamke shtuka
Sikuelewi unahela ya range mpya ml 250 na mafuta laki 5 kwa siku mpaka saba au nikuonyeshe picha ya katoto kazuri inalipiwa 5ml kama wakina daimond kwenye gariWe nikikudia boda tu inakutosha...π€£
Ilibidi awe anaumwa sana?Mzima wa afya huku mkeo anatuhumiwa anakula waume wa wenzie kimasihara!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππ Ndoa ndoa ndoaKwakweli ni shida
Kunarafikiyngu Jana wameachana na mkewe mke kasomba vitu vyote vya ndani ndoa Ina miak 2 na ni ya kanisani nimemuonea huruma sana
Kataa Ndoa Wana hoja wakat mwingine
Mwanamke achungwi bro ukimshindwa fukuza mambo ya kuumia sababu ya mapenzi yashapitwa na muda hayomnunulie mke wako simu mpya halafu uihack hiyo simu kabla ya kumpa yaani fanya uweze kupata taarifa zote anazowasiliana, ikiwa huwezi hiyo app unaweza kuuliza wataalamu wa IT au sehemu utakayonunua simu au wale watengenezaji wa simu watakufanyia namna utaweza kum spy huyo mwanamke na utajua kama ni kweli au sio. ukishamnunulia simu mpya ile ya kwake ya zamani ichukue wewe, hapo utapata unachokitaka kwa sababu text na calls zote atakazofanya wife wako utazipata.
ila angalia usije kununua gunia mbili za mkaa, kama unaona huwezi vumilia kuona text za mahaba wanazotumiana au unaona hutaweza kumwacha mkeo basi njia hii sio nzuri.
Njia nyingine ni kujifanya umesafiri halafu urudi nyumbani by surprise tena iwe usiku hapo lazima utajua tu..
Njia nyingine mtumie bodaboda amfatilie kila anapokwenda na akupe taarifa..ni vema huyo boda asiwe wa mtaa huo mnaoishi..
pole sana mkuu maisha yana mengi ila usimhukumu bila kuchunguza
Wewe kyuti katembea na mume wa mtu, na mwenye mume ndiye anayekwambia. Utakuwa sawa?? π€£π€£π€£Ilibidi awe anaumwa sana?
Kyuti lamomy nachukua superglue naunganisba hizo two parts[emoji23][emoji23]Wewe kyuti katembea na mume wa mtu, na mwenye mume ndiye anayekwambia. Utakuwa sawa?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π€£π€£π€£ mfyuuu!!Kyuti lamomy nachukua superglue naunganisba hizo two parts[emoji23][emoji23]
Na wewe toka naye huyo aliyeleta mashtaka, ngoma droo!Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Mwanaume ndiye rafiki yako?Kwakweli ni shida
Kunarafikiyngu Jana wameachana na mkewe mke kasomba vitu vyote vya ndani ndoa Ina miak 2 na ni ya kanisani nimemuonea huruma sana
Kataa Ndoa Wana hoja wakat mwingine
Mtafute huyo dada muongee kwa kina na ujue maamuzi yake ikibidi wewe uendelee nae na mke aendelee na na yule mwenzako. Usijitese budaNdugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Jeuri yote inaishia hapo[emoji23][emoji23], maana hiko ndio mnaringia[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mfyuuu!!